Nina kampuni ila nimekwama mtaji, njoo tujoin

Hahahahaaaaa mdani ya miezi 4. Duu ingekuwa rahisi hivyo kila mtu angekiwa ametoka. Kwenye biashara huwa kuna mambo mengi. Utaweka mayai kwenye incubator only 70% yataanguliwa wakati wewe unapigia 100% yataanguliwa. 10% ya vifaranga vitakufa kabla ya kufika sokoni..and things like that.
 
So hapo umemsaidiaje...? Au umetaka kusema tu...!!!! Be helpful
 
Namsaidia asiwe na ambitions za juu. Angeweza kuanza kidogo kidogo kabla hata hajasajili kampuni. Shughuli hizi wengi wanazifanya bila hata kuwa na kampuni.
 
kuhusu pesa yako kurudi ndani ya miezi mi4 ni uhakika kwani nikishaanza biashara tu naenda bank kuomba mkopo.Huo mkopo ntaopata bank nakurudishia ww pesa yako nafanya hivi kwa sababu bank zina add mtaji kwa mfanyabiashara na si kutoa mitaji.
 
Ktk issue za masoko nna connection na wafugaji wengi
 
Mtaji wa masikini ni nguvu zake MWENYEWE........
 
Unafikiria vyema. Nimependa sana mawazo jako. Keep going like that and good lucky.

kuhusu pesa yako kurudi ndani ya miezi mi4 ni uhakika kwani nikishaanza biashara tu naenda bank kuomba mkopo.Huo mkopo ntaopata bank nakurudishia ww pesa yako nafanya hivi kwa sababu bank zina add mtaji kwa mfanyabiashara na si kutoa mitaji.
 
kuhusu pesa yako kurudi ndani ya miezi mi4 ni uhakika kwani nikishaanza biashara tu naenda bank kuomba mkopo.Huo mkopo ntaopata bank nakurudishia ww pesa yako nafanya hivi kwa sababu bank zina add mtaji kwa mfanyabiashara na si kutoa mitaji.

Kukopa benki unahitajika uwe na dhamana.
Ndani ya miezi minne utapata wapi hiyo dhamana ya kwenda kukopea benki?
What if ikafika hiyo miezi minne ukashindwa kurudisha pesa ya watu na huko benki ukakosa mkopo?
Do you have any back up plan?
 
Kukopa benki unahitajI dhamana.
Ndani ya miezi minne utapata wapi hiyo dhamana ya kwenda kukopea benki?
What if ikafika hiyo miezi minne ukashindwa kurudisha pesa ya watu na huko benki ukakosa mkopo?
Do you have any back up plan?

Kwa post zako chache nilizozisoma zinazohusu biashara inaonekana una uzoefu na unaongea vitu kwa uhalisia mkuu. Hayo ni maswali ya muhimu sana.
 
Ili benk ukope lazima ac yako ionyeshe transaction zako kwa miezi sita na mkopo unategemea transaction, hapo umechemka mkuu, Waza mkopo baada ya miezi 6, tena kuwe namzunguko mzuri
 
Kukopa benki unahitajika uwe na dhamana.
Ndani ya miezi minne utapata wapi hiyo dhamana ya kwenda kukopea benki?
What if ikafika hiyo miezi minne ukashindwa kurudisha pesa ya watu na huko benki ukakosa mkopo?
Do you have any back up plan?

mkuu bank nishaenda tayari na wamenipa explanation kuhusu mikopo Wanayotoa.Kwa hili nna uelewa kiasi..Then kuhusu dhamana nna nyumba.
 
Ili benk ukope lazima ac yako ionyeshe transaction zako kwa miezi sita na mkopo unategemea transaction, hapo umechemka mkuu, Waza mkopo baada ya miezi 6, tena kuwe namzunguko mzuri

Sio bank zote mkuu.Vipi umewahi kutembelea akiba au amana bank
 
Ili benk ukope lazima ac yako ionyeshe transaction zako kwa miezi sita na mkopo unategemea transaction, hapo umechemka mkuu, Waza mkopo baada ya miezi 6, tena kuwe namzunguko mzuri

Dhamana Ndio Ina Matter Zaidi. Unaweza Ukafungua Akaunti Leo Na Kesho Ukapata Mkopo. Cha Msingi Ni Kuchagua Benki Yenye Masharti Utayoyaweza
 
hata mimi pia nafaham hivyo
 
Ili benk ukope lazima ac yako ionyeshe transaction zako kwa miezi sita na mkopo unategemea transaction, hapo umechemka mkuu, Waza mkopo baada ya miezi 6, tena kuwe namzunguko mzuri

Mkopo bila collateral mkuu? Benki gani hiyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…