Nina kampuni ila nimekwama mtaji, njoo tujoin

mkuu bank nishaenda tayari na wamenipa explanation kuhusu mikopo Wanayotoa.Kwa hili nna uelewa kiasi..Then kuhusu dhamana nna nyumba.

Kwanini usiitumie hiyo nyumba kukopa sasa?
Unategemea kuna mtu ambaye anaweza kuweka pesa zake kwenye biashara ambayo haijaanza?
Mtu atawekeza kuona performance ya biashara yako.
What if ukaanzisha ikafa? Utamlipaje hela yake?
 
bank wao wana add ktk biashara yako na si kukupa pesa ya kuanzishia
 
Hiyo ni project plan sio kampuni, yaan vidokoment vya kufoji ndo unicomvice niwekeze? Bora ungesema unauza hiyo project tungekuelewa....na kwa taarifa yako bank hawakopeshi mtu,..Bali BANK WANAKOPESHA BIASHARA NASI PROJECT
 
Itakuwa umelewa ww sio bure .Mi nakwambia nna usajiri wa brela we wasema nimefoji ...Haya sasa sitaki msaada wako kuwa mbali nami maskini wa akili mkubwa ww...Unataka ufanikiwe ww tu lione kwanza zee zima halioni hata haya na narudia tena sitaki msaada wako
 
Hapa naona vijembe tu.
Muomba msaada mjuaji saaana,huku wenzio wakitaka kukuelewesha.
Unajua humu JF sometimes uwe muungwana kwa kukaa kimya hasa kwenye kejeli.Ukipost chochote tu lazima utafanyiwa kejeli na ndani ya kejeli wapo watakaokufahamisha na kukupa njia.
Umuhim ujue na utambue kwamba wewe lengo lako ni kupewa njia na ushauri,kuna ushauri utakuja smooth moja kwa moja,kuna ushauri utakuja mseto yaani Tamu-chungu,ambapo unashauriwa huku unapigwa dongo,na pia kuna wapiga porojo za kejeli ili kuleta burudani tu.

Mtizamo wangu kuhusu wewe:-
- Na jinsi unavyojibu ni kwamba unataka Makubwa,maana umejiita wewe Sio Maskini,na unajiita Ustadhjuma aka Na musoma,haya beba u fake huo.

-Na unavyojibu inatia hata shaka mtu kuweza ku share kwa wenye uelewa wa Biashara.
Wahindi wenzetu wanatushinda sana sie waswahili kwa kujifanya wajuaji.

-Unapotaka kujua humu JF jaribu kujifanya mjinga ili lako liwe,unalojua wewe sio analojua mwenzio,na unapogusia suala la Banks humu kuna Bankers na wafanyakazi wa Banks wenye uzoefu mkubwa,sema tu ID zinakuwa ni siri,na ndio maana JF wewe uliza lolote utajibiwa na wataalam wenye uzoefu na ukiona kejeli basi ujue ni wale wenzangu mie wachekeshaji tu.

Na kwa uzoefu wangu mdogo wa Biashara ni kwamba inaoenakana kabisa wewe ni mtata sana.Na ni ngum sana mtu kuingia ubia na wewe au hata kuingiza Capital yake kwa ujuaji wako.

-Kurejesha pesa ndani ya miezi minne
Umeshauriwa hapo kwamba hili haliwezekani maana kuna grace period kwenye biashara,na hata kama ni smooth basi bado ni kubahatisha sana,na ingekuwa rahisi hivyo basi watu wote wangekimbilia huko.Ufupi haiwzekani
Tathmini yako sio ya kina,na umekurupuka kwenye kuandaa project plan yako,na unatarajia makubwa bila kujua undani wa biashara husika

Nakupa mfano mdogo tu,mie ni mfanyabiashara ya usafiri,ambapo wengi sana husema ni pasua kichwa,Nimo kwenye Vicarry na pia namiliki bodaboda kadhaa,nipo Zanzibar ila nakuja Dar in every month.
Watu wengi hulalamika kwamba hii biashara ni ngum sana na ni pasua kichwa na wapo weeengi sana walinunua vyombo hivyo na hatimae kusema hakuna biashara mbaya kama hiyo na kuamua kiviuza.
Sasa hao walioingia kwa style hiyo ni wale waliovamia biashara kwa kuona ni rahisi sana,na ni pesa iingie tu na isitoke na hawakujipanga na changamoto hatimae wameona madereva ndio wakuwatupia Lawama.
Kwanini kwangu mie hilo halipo,ni kwamba nilijua na nilijifunza kwa kina sana juu ya biashara hii tena kwa kuuliza sana watu wa chini,na hatimae ndio nikaingia na hata humu JF walinipa mchango mkubwa sana kwa kuangalia wenzangu waliouliza,nikajua humu Dirvers hawamo wa kujitetea ikabidi niwafuate madereva na kuwauliza,hatimae nika balance story na kuingiza mzigoni.Na leo hii naona hakuna biashara inayolipa kama hiyo.
Dirvers wangu wakipata ajali,cha mwanzo nawatibu mwenyewe,na next natengeza chombo na ninakiuza kisha nanunua kingine ili akipona anakuta kipya kabisa ili kum encourage kwenye kazi hasa hawa wa Bodaboda kwenye Carry zangu bado sijakumbana na hilo

Baada ya maelezo hayo,ni kwamba lazima ukubali kuelewesha,uki expect zaidi basi utasumbuka sana na unaweza kuchanganyikiwa kwenye biashara.Wapo watu wanapoteza mitaji yote kisha wanaanza upya kwa kukomaa,lakini nikiona wewe ulivyo unaweza kufa kwa pressure.
Biashara zinachangmoto nyingi sana,kuna zamoja kwa moja na zile za ndani.
Mie Biashara yangu ya mwanzo kwa Dar nilifungua Duka la nguo,basi kila nikileta mzigo basi haifiki wiki duka linavunjwa na kuibiwa,niliweka mlinzi lakini walikuwa wanakuja kundi la vibaka walinzi wanakimbia wote.Kuja kufuatilia kumbe ni mtoto wa Mama yangu Mdogo,na mie ndio nilimsomesha hadi chuo cha Bandari.Kuna kibaka mmoja alivyosikia naishi Zanzibar akajileta mwenye na kusema hadi vitu vilipo,na mie nikawa muungwana nikampa pesa na nikaviachia vitu watumie na kufunga biashara,na nilichukua mwaka mzima kuja kujua hilo.Na wakati huo nimeishaingiza mtaji mpya si chini ya mara nne. Sasa mambo ya bishara yana mambo meeengi sana mengi ni family matters ambazo mtu hawezi kuziweka wazi sana.

Nakushauri fanya research ya kutosha,maana unapoelekea lazima uta colapse.Na kama unaamini kabisa kwamba in 4 months unawez kulipa deni hilo,basi nakushauri uza nyumba kisha anzisha mradi,na in two years unaweza kujenga bonge la Nyumba la maana kuliko hiyo,if it pays kwa muda mfupi namna hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…