Kampuni ni mpya na ina ofisi kati ya majengo makubwa mjini kati Dar es salaam. Taarifa nyingine zaidi kwa aliye tayali karibu ofisini.
Samahani ndg zangu nimeshindwa kupata access ya kufanya masahihisho kwenye kichwa cha habari.
Swala sio kufanya marekebisho, huwezi ukawa serious kiaso hicho unaandika vitu visivyoeleweka hujui hata shughuli zinazofanyika kwenye kampuni yako inawezekanajeSamahani ndg zangu nimeshindwa kupata access ya kufanya masahihisho kwenye kichwa cha habari.
Na wewe badala ya kuandika kiaso sema kiasi pia usichanganye lugaSwala sio kufanya marekebisho, huwezi ukawa serious kiaso hicho unaandika vitu visivyoeleweka hujui hata shughuli zinazofanyika kwenye kampuni yako inawezekanaje
Na wewe badala ya kuandika kiaso sema kiasi pia usichanganye luga
Nimeshakusaidia kusahihisha, haya endelea marekebisho madogo madogo.... kwenye ‘tayali’ weka ‘tayari’.
hiyo clearing na forwarding hauiuzi?
Nawe is the right word. Ni kifupi cha neno 'Na wewe'.....lahaja tu.“Sio Nawe”
'Ni Nawewe'