Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 9,397
- 12,415
Upo sawa mkuu. Hiyo ndio njia kuu ya kupata petroli lakini mchakato wake unahitaji uwekezaji mkubwa na mgumu kwa watu wa kawaida.Kanuni gani tena jamani, petroli subinachimbwa ardhini
sore mkuu, nimefuta koment yangu, futa uliyokoti basi ili isionekane tena.Jitahidi kutumia lugha nzuri mkuu. Sio kila mtu yupo humu kucheza. Hizi platform kazi yake ni kukuza maarifa.
Kutengeneza, kutafuta mtaji mkubwa sana unahitajika. Hapa nazungumzia kutengeneza mfano pipa moja la dizeli au Petroli, ukiwa nyumbani au kiwanda kidogo.Kutengeneza au Kutafuta?