Nina kilo 600 za maharagwe, nauza Tsh 1800 kwa kilo moja

KIKI CORAL

Senior Member
Joined
May 10, 2023
Posts
183
Reaction score
313
Kuna mzigo wangu wa maharagwe ninazo Kg 600 nauza kwa bei ya Tsh 1800.

Usafiri Utalipia mzigo Upo Kasulu Kigoma.

Ni maharagwe mazuri yaliyovunwa Mwaka huu.
 
Mkuu watu wapo seriously nyie munaleta utani. kama unataka Picha yamaharage si uende gengeni ukaone
Kuna ya njano , soya ya kitenge nk sasa unaambiwa vizuri unaleta ego mkuu watu wanamaanisha leta picha au describe vizuri aina ya maharage yako ili wafanyabiashara waamue
 
Kuna ya njano , soya ya kitenge nk sasa unaambiwa vizuri unaleta ego mkuu watu wanamaanisha leta picha au describe vizuri aina ya maharage yako ili wafanyabiashara waamue
okay ni ya njano Mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…