Nina kitalu cha madini ya gypsum nina soko nahitaji mtu wa kushirikiana naye, soko ninalo

Bizney

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2013
Posts
454
Reaction score
48
Mpendwa Ndg kama nilivyo eleza hapo juu, nina kitalu cha Madini Gypsum, ukubwa ni hekari 15 kimelipiwa vibali vyote, nahitaji mtu wa kushirikiana naye leseni tayari ninayo, soko liko wazi muda na wakati wowote, kwani mahitaji ni makubwa. Kwa aliye serious naomba tuwasiliane kwa no 0717111212
 
Kitalu kiko wapi mkuu na mtaji unahitajika kiasi gani...?
 
Muweka bandiko weka wazi mambo yako yanaweza washawishi watu na mkaingia ubia. Watu wamekuuliza kulingana na mchanganuo wako ni mtaji kiasi gani unahitajika ili kuendesha huo mradi?
Kuna jamaa yangu alikua na kitalu cha kusaga kokoto na alipo kwama alitafuta mbia na akauza hisa 49 na kupata mtaji na kazi kalibu inaanza soon
 
Back
Top Bottom