Ndg kuhusu ni nini kinahitajika naomba tuwasiliane, meza ya mazungumzo iko wazi inamsubiri muhitaji.Mkuu unatafta mshirika awe na mtaji kama wa sh. Ngap?
Mm nna laki 5 mwanaNdg kuhusu ni nini kinahitajika naomba tuwasiliane, meza ya mazungumzo iko wazi inamsubiri muhitaji.
Hahahahaaaa.Mm nna laki 5 mwana
Ila nnaweza kuchangia nguvu kaz
Kitalu kiko wapi mkuu na mtaji unahitajika kiasi gani...?Mpendwa Ndg kama nilivyo eleza hapo juu, nina kitalu cha Madini Gypsum, ukubwa ni hekari 15 kimelipiwa vibali vyote, nahitaji mtu wa kushirikiana naye leseni tayari ninayo, soko liko wazi muda na wakati wowote, kwani mahitaji ni makubwa. Kwa aliye serious naomba tuwasiliane kwa no 0717111212
Ndg kitalu kiko Lindi. Kwa muhitaji tuwasiliane.Kitalu kiko wapi mkuu na mtaji unahitajika kiasi gani...?