Nina kiu lakini nina dozi ya diclopar, nilambe kilaji?

Nina kiu lakini nina dozi ya diclopar, nilambe kilaji?

Jahom

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2008
Posts
351
Reaction score
32
Nilisikia maumivu ya Shingo kidogo nikala DICLOPAR kama masaa matatu yaliyopita.

Naweza kulamba kilaji?
 
Mkuu, lamba tu but for your own risk!
 
attachment.php

Ulevi ni nomaaa!
 
Poa, bahati nzuri nalamba kama tubia tunne tu.
 
...tena usitumie maji kunywa dawa,jitahidi utumie wine na konyagi ndo unapona haraka....
 
...tena usitumie maji kunywa dawa,jitahidi utumie wine na konyagi ndo unapona haraka....
Havichangamani wine na konyagi. Inaonekana we mgeni kwenye mambo haya.
 
Mi mzima, ila msiige mtakufa mkashindwa hata kutoa ushuhuda ilivyofanya kazi dawa+kilaji
 
naona unataka kuji Adam
Umesahau kilichomtokea Adam Kuambiana
miili yetu inatofautiana mwingine anaweza meza dawa na kunywa isilete shida mwingine anaweza kumeza dawa na kunywa ikaleta shida
Nina ndugu yangu alimeza panadol after few hours akanywa reds nusu tumpoteze,thnx God alipona
 
Back
Top Bottom