Mmhh hapo utata!Mkuu, lamba tu but for your own risk!
Nimeshaagiza ya kwanza mkuu, walau nne zitatosha.Lamba tu mkuu kwani shngapi...
Nimeshaagiza ya kwanza mkuu, walau nne zitatosha.
Havichangamani wine na konyagi. Inaonekana we mgeni kwenye mambo haya....tena usitumie maji kunywa dawa,jitahidi utumie wine na konyagi ndo unapona haraka....
Yakiwa mengine wala hutajua, labla tukionana kuzimu.Ila yakiwa mengine usiseme nilikushauri mimi
Nilisikia maumivu ya Shingo kidogo nakala DICLOPAR kama masaa matatu yaliyopita. Naweza kulamba kilaji?
ngesseeNilisikia maumivu ya Shingo kidogo nakala DICLOPAR kama masaa matatu yaliyopita. Naweza kulamba kilaji?
Haki ya Mungu kunywa. Bonyea. Diclo ni ya maumivu tu. Kula maisha. Uko salama.