Nina kivimbe kwenye mbavu usawa wa breasts

Kibada

Senior Member
Joined
Apr 5, 2012
Posts
122
Reaction score
17
Ndugu nina kivimbe kwa zaidi ya miaka nane sasa sehemu niliyotaja hapo juu.. Hivi karibuni kimeanza kuuma na sijaenda hospitalini. Je kivimbe hicho kinaweza kuwa kimesabishwa na nini? Naombeni msaada..
 
kwa nini usiende hospitali?miaka yote hiyo unakaa na uvimbe tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…