Nina laki 2 na line ya wakala M-PESA, Nikianza kufanya miamala itanilipa?

Sigara Kali

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2017
Posts
3,623
Reaction score
8,442
Wakuu nna line ya wakala wa M-PESA na kianzio cha laki 2 laki 1 cash moja float
Je nkianza kufanya miamala naweza pata commission ya wastani ya shilling ngapi kwa mwezi??
Ufafanuzi tafadhali kwa wale wajuvi wa hii biashara.

Gracias y Buena Sabado
 
Kupata commission ndogo au kubwa kunategemea mzunguko wako, jinsi watu wanavyotoa na kuweka ndivyo unavyozidi kuongeza commission, kama utakuwa kwenye mzunguko Mkubwa Laki mbili ni ndogo sana au ukubali kupata commission ndogo mwisho wa mwezi! Kumbuka kuwa mtu akija kutoa hela nyingi ndivyo unavyopata commission kubwa kwa muamala mmoja, akitoa hela ndogo unapata commission ndogo. Tafuta bango la tarif Mpya la mawakala utapata ufafanuzi zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante mkuu
 
Ela yako ndogo sana endelea kucheza vikoba mpaka upate 1 ml ndio utafurahia kuwa wakala
Npo kwa industries muaka nying so nakupa uzoefu tu

Mpe anae kupa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…