Nina laki 7+ kwaajili ya bajeti ya kununua simu

Nina laki 7+ kwaajili ya bajeti ya kununua simu

Sal pa

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2023
Posts
213
Reaction score
315
Habari wana jukwaa letu pendwa ! Naombeni ushauri wenu wataalam wa teknolojia hasa upande wa smartphone, kwa maono yangu Samsung S21 Ultra Used kwa kias hki naweza ipata. Ushauri wako ni muhim je, ni simu ipi bora naweza kuimudu kwa kiasi hiki ?
 
Mtaji huo unauchezea kwa kununua smartphone ambapo hata kwa laki mbili unaweza kupata nzuri tu.
 
Kama unauwekezaji wowote unaoweza kukuingizia angalau 100k au 150k nunua lakini kama huna acha kutafuta sifa za kijinga mtaani kua unamiliki simu Kali.
 
Acha kutafuta simu. Tafuta kifaa cha mawasiliano na chenji itakayo baki fanyia mambo mengine utanishukuru baadae. Hii haina utofauti sana na simu wanazo jishebedua nazo vijana wa hapo MUJINI SIMU za miaka ya 2019 na 2020 na 2021.
Chukua hii
1734005110811.jpeg
 
Back
Top Bottom