Ally Rahimu
New Member
- Dec 27, 2022
- 1
- 1
Ninayo laki Saba na nigraduate shahada ya ualimu nahitaji biashara ushauri wenu tafadhari
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tembela mashine ya kusaga na kukoboa iliyo karibu nawe (iliyochanganya), ongea na mmiliki uweke mahindi yako gunia 5 (kwa laki 6) na pumba gunia 5.
1. Utauza mahindi na unga
2. Utauza pumba
Hela yako itarudi na hutakufa njaa
Uza sumu ya PanyaNinayo laki Saba na nigraduate shahada ya ualimu nahitaji biashara ushauri wenu tafadhari
KaribuNaomba nije nifanye hivyo kwenye mashine yako
Ninayo laki Saba na nigraduate shahada ya ualimu nahitaji biashara ushauri wenu tafadhari
hivi mwanza gunia moja shingp?biashara ya dagaa kama una mtu mwanza itakuwa poa kisha nunua mafuta kaanga mwenyewe paki mwenyewe balance mtaji ununue baskeli anza kutembeza door to door