Nina Laki Nne Na Nusu(450000) Nahitaji Laptop[ARUSHA]

danione

Member
Joined
Oct 26, 2011
Posts
58
Reaction score
5
Habari Wakuu.
Mimi niko ARUSHA Natafta Laptop kwa ajili ya Masomo Yangu Ya chuo
Kama Kunamtu ana Laptop anauza iwe na sifa Hizi

Intel core i3 Processor oR Dual-Core 2.4ghz AU Zaidi
HDD Isiwe Chini Ya 150GB
2gb Ram AU Zaidi Ya Hapo
DvDrw
webcame
wifi
Bluetooth
2hrs batry AU Zaidi Ya Hapo

Kwa Hiyo Bei Naomba ani PM au ACOMENT APO CHINI CONTACT ZAKE nitaftafta


NB:ISIWE NA MATATIZO NapendekeZa sana HP
 

Nina Acer used kwa 300,000/- nipigie kama unaihitaji 0652275300
 
Habari gani,

Naomba uwasliane nikupatie laptop nzuri kwaiyo offer yko.

Namba yangu: 0655003510

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…