Nina laki sita biashara gani nifanye

Nina laki sita biashara gani nifanye

i think

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2014
Posts
361
Reaction score
72
Wadau wa jf nina kipesa kidogo shiling laki 6. Ninataka ushauri wenu ni biashara gani kwa huo mtaji nitamudu vyema.

ASANTEN
 
Chumba cha biashara unadhani elfu 30?

kwann biashara ni lazima ipange chumba mkuu? anaweza hata kukodi mtumbwi kwa cku then annanunua nyavu anazama majin! au hata akawa annafanya uchuuzi wa mbuzi kule pugu au kiembe mbuzi! chamuhimu tumpe idear ambazo tunafiki innawezekana kullingana na mtaj wake na mahala alipo au hata kuhamia mahala husika
 
Wadau wa jf nina kipesa kidogo shiling laki 6. Ninataka ushauri wenu ni biashara gani kwa huo mtaji nitamudu vyema.

ASANTEN

pengine kabla ya ushauri nikulize je unao ujuzi wowote mkuu! kama jibu ni ndio bac anzia kufikiria kitu ndani ya taaluma/ujuzi wako kkwanza kabla kupokea mawazo mengi ambayo pia yanaweza kukupa wakati mgumu kuamua
 
Wadau wa jf nina kipesa kidogo shiling laki 6. Ninataka ushauri wenu ni biashara gani kwa huo mtaji nitamudu vyema.

ASANTEN

Upo wapi???? Na unataka kufanya bussiness sehemu gani??? Targeted consumers how did u reach.
 
nunua simu feki za kutachi kama 5 hivi alafu kauze kijijini kwa bei nzuri..mmmh ili huo ni wizi..acha kabisa
 
Observe mazingira yako na invest hiyo pesa kiakili. Fikiria faida za muda mrefu na usiwe na haraka.
 
Back
Top Bottom