Nina leseni ya driving gari ndogo (sio class C) na nime-renew tangu 1990, leo hii nakataliwa ku-renew eti sina cheti!

Synthesizer

Platinum Member
Joined
Feb 15, 2010
Posts
12,699
Reaction score
22,598
Hii nchi sasa imefikia kuwa na watawala wa kipumbavu sana. Nimekuwa na leseni ya kuendesha gari kwa miaka 34, na siku zote nimekuwa niki-renew bila tatizo.

Leo hii nataka ku-renew TRA wananiambia mambo ya cheti cha udereva, shule sijui, nenda polisi na utumbo mwingi wa kuku kibudu.

Hivi hawa watu wanaokaa huko juu na kutunga hizi taratibu wana akili sawa kweli? Kama wameleta sheria mpya kwa nini zisitumike kwa wakataji wapya wa leseni za udereva? Niliwahi kusema humu JF, katika taasisi za serikali ninazozichukia kuliko zote, ni Polisi na TRA - kwa sababu hawa ndio wana mambo ya kijinga kupita kiasi.

Kawaida, unapotunga sheria mpya, huwa inaanza kutumika pale ilipotungwa na kwenda mbele. Huwezi kutumia sheria mpya "retroactively". Kwa mfano, huwezi kutunga sheria mpya mwaka 2025 kwamba wabakaji mbuzi wanyongwe, halafu useme hata wale waliobaka mbuzi miaka ya 1980 huko nao watafutwe tuwanyonge. Hakuna kitu cha namna hiyo.

Sasa hawa watu wanaokuja na taratibu za kijinga namna hii wana ubongo huko ndani ya vichwa vyao kweli?

Na nyie kina Mwabukusi, kwa nini mnakaa kimya utopoo kama huu unapofanyika nchini? TLS ipo kwa ajili ya nini na nani, vyama vya upinzani peke yake?

Nchi hii inahitaji mapinduzi - na hapa simaanishi CCM!
 
Pole mkuu.
Hayo mambo n kawaida kama una leseni class c na e.
Cha kufanya nenda polisi, ukifika nenda kwa vehicle (mimi najua anaitwa hvo, sielewi kwanin) yoyote, mwambie nmekujq kurenew leseni,.
Atakuomba leseni aione, ukiwa unampa usisahau kuiunganisha na li teni.
Akimaliza hapo tayar utarud TRA utapewa new licence.
Hii nchi smtyms sio ya kutafta haki sana, wat is 10k for the next 5yrs?
 
Kawaida, unapotunga sheria mpya, huwa inaanza kutumika pale ilipotungwa na kwenda mbele. Huwezi kutumia sheria mpya "retroactively". Kwa mfano, huwezi kutunga sheria mpya mwaka 2025 kwamba wabakaji mbuzi wanyongwe, halafu useme hata wale waliobaka mbuzi miaka ya 1980 huko nao watafutwe tuwanyonge. Hakuna kitu cha namna hiyo.
Wana vidriving school vyao uchwara mitaani wanavipigia chapuo ili waingize pesa, kichekesho wanaofundisha hawana hivyo vyeti
 
Pole mkuu.
Hayo mambo n kawaida kama una leseni class c na e.
Cha kufanya nenda polisi, ukifika nenda kwa vehicle (mimi najua anaitwa hvo, sielewi kwanin) yoyote, mwambie nmekujq kurenew leseni,.
Atakuomba leseni aione, ukiwa unampa usisahau kuiunganisha na li teni.
Akimaliza hapo tayar utarud TRA utapewa new licence.
Hii nchi smtyms sio ya kutafta haki sana, wat is 10k for the next 5yrs?
We umeshawahi kurenew leseni kwa elfu 10? Au hata leseni hauna?
 
Ndiyo mambo ya kikao cha juzi cha Bashungwa,Police,LATRA kudhibiti ajali itakuwa!

Madereva wa serikali wana vyeti safi kutoka NIT ila fujo zao kila mtu anazijua.

Hawajui zebra crossing wala vibao vya 50 na 80.
 
We umeshawahi kurenew leseni kwa elfu 10? Au hata leseni hauna?
Leseni first time nmepata ya kitabu mwaka 2009, class E.
Walivoleta hizi mpya nkaenda nkabadilisha nkapewa class B, D, na E nliokua nayo.
Mind you sijawahi hata kuendesha lorry.
After there ikaexpire first time nkaenda nkarenew bila shida.
Then ikaexpire tena after 3 yrs, i thnk ilikua 2021, nkaenda nkaombwa cheti (ambacho sina) nkaenda kwa vehicle nkatoa 10k akapitisha nkarud TRA kurenew.
Kama umemwelewa jamaa anacholalamika n kuombwa cheti.
Sasa hv kurenew leseni ni 70k for 5 yrs but kwa sisi wenye leseni kubwa (class C, E n.k) lazma uanzie polisi kwa vehicle ili afanye approval kwenye system then ndo TRA wakupe mpya. Huko ndo nmesema kuna kutoa maji ya kunywa kama huna cheti au hutaki usumbufu wa kuanza kufanyiwa road test n.k
Haya wewe mwenye leseni, embu tueleze how it works kwa nyie wenye leseni
 
Mnavunja taratibu wenyewe alafu kesho mnakuja kuipigia kelele serikali.
 
Niliwahi kusema humu JF, katika taasisi za serikali ninazozichukia kuliko zote, ni Polisi na TRA - kwa sababu hawa ndio wana mambo ya kijinga kupita kiasi.
Kama unawachukia TRA na Polisi unakosea hawana kosa lolote wao ni watendaji tu na watekelezaji wa kile wanachoagizwa na serekali,chuki yako ungeielekeza kwenye serekali hapo ungekuwa umelenga penyewe.
 
Back
Top Bottom