Nina makovu naombeni msaada wa dawa kuyaondoa

Picha mbovu, piga kwenye mwanga wa kutosha then uje tena
 
Nenda masaki Dar Kuna wazungu Wana deal name scar removal
 
Nenda hospitali ukachome injection ya triamcinolone yatapungua taratibu
 
Jaribu kutumia kitunguu swaumu.
Twanga au saga nusu punje ya hicho kitunguu saumu ,halafu bandika hapo penye kovu kwa plasta,baada yasiku tatu itoe.
Unapumzika baada siku sita au saba unabandika tena.
NB: Kitunguu kinaunguza ngozi, ila usihofu ndiyo tiba yenyewe invyofanya kazi.
 
Picha yako ni mbaya naona ni kwa sababu umetumia simu ya sh. 15,000.Hata hivyo kwa mwonekano wa taabu inaonekana una tatizo la KELOID, Keloid ni uvimbe wa makovu ya kidonda cha aina yeyote.Makovu haya hayampati kila mtu bali ni for only certain genetic indivuals.( watu wa nasaba fulani tu ).Uvimbe hupotea taratibu kwa kuchoma sindano maalum papo hapo kwenye kovu kwa wiki kadhaa lakini pia kuna dawa ya kupaka ambayo ni aina ya kama hiyo sindano.If your serous please find me for more details.Zaidi ya hapo usipoteze muda wako kwa kuelezwa vitu vingine ambavyo ni useless labda kama utaambiwa upake dawa ya kienyeji ambayo mimi siijui.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…