Nina mashaka kuna kikundi ndio kinaendesha nchi kwa sasa

Mbona kama wewe ndio unaonekana Una chuki na udini na ukabila kiwango cha kutisha?
 
Kuna remote control imekaa kwenye kochi sebuleni mkuu, inachagua channel zipi tuzione.
 
Kwani si alisema amemuajiri Tony kumsaidia kurun the country
Kule uingereza , waingereza wenyewe wanataka Tony aburuzwe mahakamani kwa kusema uongo,huku tunampa kuwa mshauri, tabu sana,swa na Masanja Musukuma akawe mshauri wa serikali kule uingereza wakati hajui lolote kuhusu tabia na mila za Waingereza.
 
Ni mambo mazito sana haya. nile kwanza ganja, nitarudi kuusoma upya huu uzi. Kuna mambo mengi sana mabaya yakutisha haya yanayoandikwa humu ni ncha tu ya majabali.
 
Kikundi kinachoongoza nchi ni watu watano tu
1) Kikwete
2) Kinana
3) Makamba
4) Rostam
5) Deep state ( ambao wapo royal kwa JK)
 
Mwigulu ni mtu muovu sana..sana. Mungu atuepushe asije kuwa Rais
 
Magu nilikuwa simkubali ila bora angemalizia usheenz wake hafu ndo afe sio kutuachia nchi katika mvurugano na huyu mama.
Unaweza ukaja Rudia maneno haya leo!??

Tunasonga na Mama.
 
x
Mbona kama wewe ndio unaonekana Una chuki na udini na ukabila kiwango cha kutisha?
Mjibie maswali niliyohoji kisha majibu yako ndo uyahusishe na hizo chuki zangu za kidini na kikabila! Mfano, sema hapa kwamba hapakuwa na mauaji awamu yake na mimi kusema hivyo ni chuki zangu tu za udini na ukabila! Sema hapa kwamba ile midege inaingiza faida kweli kweli na mimi kusema ni mradi kichaa ni chuki zangu tu za udini na ukabila! Sema hapa kwamba ni sawa tu kujenga hospitali ya rufaa kijijini kwao ambako ni very remote badala ya Geita ambako ndio HQ na mimi kusema miradi kupeleka kwao ni chuki zangu tu kwa sababu yeyote mwenye akili angejenga hospitali ya rufaa ya mkoa nje kabisa ya mkoa!!

Mengine malizia mwenyewe!
 
Polepole alisema kuna aina kadhaa za uongozi wa nchi. Tukampiga mawe. Alikuwa akitujulisha kuwa nchi si salama, inaongozwa na kikundi cha wahuni na mama yetu anapigishwa kwata speed kali ili asigundue nchi ina wenyewe.
RIP mwanaume JPM. Umekufa kishujaa. Ulikataa kabisa kukitii kikundi cha msoga.
 
Pole sana.
 
Una hoja nzito

Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
 

Jenerali Mabeyo: Tulimpoteza Rais Magufuli, tulisimama kidete kama Jeshi kulinda Katiba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…