Nina mashaka na afya ya akili ya Mrisho Gambo

Ni kivuko siyo daraja
 
Kwakuwa hatujamsikia anasema nini', siajabu wewe, unayewawakilisha chadema chakavu wenzio, ndiye usiye na akili.
 
Alikwenda kuangalia sehemu korofi. Hebu punguza kumlisha maneno kisa tu umchafue
 
Nadhani ni kweli kabisa.. Makonda kajua kumkondesha hasa,😂
 
Hili daraja imeligharimu serikali trillion ngapi?
 
Nacheka sana jinsi wabongo tunamhukumu Gambo.🤣🤣🤣🤣

Alichokuwa anazungumzia Gambo sio hicho kidaraja cha mabanzi. Ni hizo nguzo na Base yake. Ambapo baadae patasukwa na kuwekwa Zege au kuunganisha daraja la chuma.

Sisi wananchi tunavyotafsiri mambo ndio tunachekesha. 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Tusiwe wepesi wa kuhukumu, unahisi Gambo ni mpumbavu wa kwenda kuzindua au kunadi daraja la aina hiyo? Lets dig and gets the fact kwanza, hiyo awamu ya kwanza inayozungumziwa ni ipi tafadhali?
Awamu ya kwanza hapo ni hilo daraja la zege. Sema ndio hivyo akili za wanadamu zimekuwa programed kukimbilia mabaya.

Wasingejenga daraja bila kupindisha mto na kuweka kivuko cha muda.

Akili yangu inaniambia hivyo
 
Sasa Hilo ni daraja la mbunge kwenda kuzindua
 
Ana hoja asikilizwe!
 
Mmeshaanza kununuliwa siyo? Huo ni uzushi wa wazi
 
Rudia tena kusoma nilicho andika, AU NIKUWEKEE HAPO CHINI

"Niliona hiyo clip live; Viongozi wa eneo hilo nao waliona ni fursa kumuonesha Muhemiwa Mbunge kivuko chao kama nao watapata msaada wa kujengewa kivuko kipya"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…