Nina mashaka na succession plan ya CHADEMA

Nina mashaka na succession plan ya CHADEMA

Makonde plateu

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2022
Posts
1,443
Reaction score
3,480
Unjani Subawona

Kiukweli wakuu ni mashaka na yawezekana hofu juu ya succession plan ya chadema baada ya mheshimiwa mbowe kutoka kwenye hiyo nafasi yake najiuliza who is next after him?

Kiukweli tuseme ukweli CCM Ina uwingi wa manpower kuizidi chadema Tena yawezekana ni Mara Mia au elfu moja Zaid ya chadema wakuu.

Najiuliza je chadema inashindwa kutengeneza watu wapya au uwingi wa asali inayopatikana CCM? CCM hata leo mwenyekiti akiondoka kwenye madaraka bado wanautitili wa manpower.

Kiukweli mheshimiwa mbowe ni jembe hata CCM nao wanalifahamu Hilo ni tishio, mpambaji na jembe haswa yaani mtu ujana wake woke amAmetumia kwenye harakati huyu ni che Guevara wa Afrika.

Wanachadema tafadhali Tuandae kizazi kipya cha Vijana wapambanaji tuiondoe CCM madaraka.

"By any means of necessary " hapa mods sijamaanisha violence itumike tafadhali. Jamaica farewell.
 
Unaongelea succession plan wakati sisi tunashangaa kwanini bado Mbowe ni mwenyekiti! Kwa taarifa yako Mbowe ni kama anashindwa kwenda na siasa za kihuni za CCM, hivyo ni wakati sasa aingie mwenyekiti mwingine anayeweza kazi.

Huwezi kupambana na CCM kwa majadiliano ya maridhiano. Hakuna maridhiano bila machafuko. Mbowe ndio anachelewesha watu na busara zisizo na mpango.
 
JamiiForums1327454580.jpg
 
Mkuu CCM ina watu wengi lakini huwa inakosa watu makini huko na kukimbilia kukopa CHADEMA, kwahiyo CHADEMA ina watu makini kuliko CCM, ni mtazamo tu
 
Back
Top Bottom