Nina mashaka na ukubwa wa kikodi tunayoipa Kariakoo

Nina mashaka na ukubwa wa kikodi tunayoipa Kariakoo

comte

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2011
Posts
9,019
Reaction score
6,825
Kelele na sifa inazopewa Kariakoo sidhani kama ni kweli ndiyo sehemu inayotoa kodi kubwa sana kama ukizingatia vigezo vyote.

Ninaiona Kariakoo kama walivyosema kama shamba la bibi kwa watumishi wa TRA na wafanyabiashara wenyewe huku taifa kama taifa likipata kidogo sana.
 
Mkoa wa kodi kariakoo unaweza kuzidi mikoa mingi sana nchini kimakusanyo
 
Mkoa wa kodi kariakoo unaweza kuzidi mikoa mingi sana nchini kimakusanyo
Ni sawa ila pia unapoteza kodi kubwa sana kuliko mkoa wowote wa kikodi Tanzania
 
Back
Top Bottom