Ghost MVP
JF-Expert Member
- May 19, 2022
- 439
- 736
Hivi Vishikwambi vimetengenezwa China, nimekaa nimefikiria juu ya hizi nchi zetu za Afrika zinavyoandamwa na mataifa yaliyoendelea.
Vipi kama vimeunganishwa na mifumo yao hivyo wakawa wamepata taarifa zetu zote za sensa na kila kitu, sasa wana uelewa wa jamii yetu kiujumla.
Kama ni kwel, hizo taarifa watazitumia katika vitu gani?