Taarifa zenu wakizihitaji huwa mnazitoa bila hata nguvu kutumika.Hivi Vishikwambi Vimetengenezwa Chini, nimekaa nimefikiria juu ya hizi nchi zetu za Afrika zinavyoandamwa Na mataifa yaliyoendelea.
What If zipo Connected na Mifumo yao hivyo wakawa wamepata Details zetu zoote za Sensa Taarifa Binafsi na kila kitu, now wana Idea ya Jamii yetu kiujumla, je kama ni kwel, hizo taarifa watazitumia katika issue gani?.
View attachment 2950011
Wewe ndio utwambie watazitumia wapiHivi Vishikwambi Vimetengenezwa Chini, nimekaa nimefikiria juu ya hizi nchi zetu za Afrika zinavyoandamwa Na mataifa yaliyoendelea.
What If zipo Connected na Mifumo yao hivyo wakawa wamepata Details zetu zoote za Sensa Taarifa Binafsi na kila kitu, now wana Idea ya Jamii yetu kiujumla, je kama ni kwel, hizo taarifa watazitumia katika issue gani?.
View attachment 2950011
Umenikumbusha kitu.Watu mna hofu na kila kitu..yani mtashindwa hata kupuu kwa kuhofia choo alikitengeneza mzungu labda ameweka chip ana agenda za kuwachungulia... π
Unadhani kwa akili yako hayo mataifa hayana hizo taarifa? Kabisaaa? Pole kama leo ndio unashtuka na kudhani umevumbua swali gumu. Kila mwaka cia wanatoa ripoti ya kidunia nchi kwa nchi, weka entry ya nchi unayoitaka unapata taarifa fresh kabisa tena iko mtandaoni kwa yeyote kuipata. Fikiria zile ripoti zao za siri zinakuwa zimesheheni nini.Hivi Vishikwambi Vimetengenezwa Chini, nimekaa nimefikiria juu ya hizi nchi zetu za Afrika zinavyoandamwa Na mataifa yaliyoendelea.
What If zipo Connected na Mifumo yao hivyo wakawa wamepata Details zetu zoote za Sensa Taarifa Binafsi na kila kitu, now wana Idea ya Jamii yetu kiujumla, je kama ni kwel, hizo taarifa watazitumia katika issue gani?.
View attachment 2950011
Umeona sasa...watu wana over thinking...hahahahahahahahha πUmenikumbusha kitu.
Kuna jamaa ameandika bandiko choo cha ofisini kwake hivi:
" ukimaliza nisafishe na ole wako usiponisafisha nitawaambia watu siri zako unazozificha kwa nguo"...ππ
Vipi rafiki, kale kamoja kamepona?ππUmeona sasa...watu wana over thinking...hahahahahahahahha π
Sisi hizo habari tulishazisahau kwa sasa tuna sare ipo mtaani inasubiri harusi tuu next week.. πVipi rafiki, kale kamoja kamepona?ππ
China mwanachama mtazamaji AU. Hivyo lazima rais wao alindwe akienda kusalimia.Fanya mambo mengine. China ilifanikiwa kusimika vifaa vya kihuni kule kwenye ukumbi wa AU sembuse vishikwambi?