mtotomtamuu
JF-Expert Member
- Dec 4, 2016
- 602
- 1,459
Katika ajira zilizotangazwa juzi na TPA waliita watu wengi hadi ambao hawajasoma course maalu ya mambo ya Bandari ambayo inatolewa na chuo chao cha Bandari, na kwa bahati mbaya wakaita kwenye interview watu ambao hawakusoma mambo ya Bandari kwenda kwenye interview, na kwa bahati mbaya zaidi wakawatema vijana waliosoma kwenye chuo chao yaani hawakuitwa kabisa.
Sasa unamuita mtu kasomea mambo ya HR, mambo ya procurement, unamlipisha nauli kutoka mkoa mmoja hadi mwingine alafu unaenda kumuuliza mambo ya utaalam wa Bandari vitu ambavyo hakusomea na wale waliosomea na kutoa mamilioni pale Bandari college wengi hujawaita, je hao ambao hawakusoma mambo ya Bandari na mkawaita hamna mchezo unafanyika wapachikwe kwa mambo ambayo hawakusomea?
Mamlaka ya Bandari ilianzisha chuo cha Bandari ili isomeshe wafanyakazi wake na mwisho ikaanza kuchukua vijana waliohitimu 4,na 6 kusomea utaalam wa shuhuli za bandarini lakini cha kushangaza zinatokea ajira za wataalam wa Bandari, kwenye maombi ya kazi unamuita mtu aliyesomea fani tofauti mambo ya Bandari alafu unamuuliza mambo ya Bandari hivi atayajulia wapi?
kwenye ile Interview kama kuna mtu kapita na hakusoma Chuo cha bandari hasa ile course ya shipping and port Operation na akawin hiyo interview basi lazima mjiulize kama sio mipango yale maswali kayajibu kupitia wapi
Ni sawa na kuhitaji wataalam wa Afya then ukamchukue mtaalam civil engineering na ashinde interview then awe Doctor ni lazima kuwe na mkono wa mtu