Nina Masters ya Water Engineering kazi inakuwaje hapa?


well said Roullete...atafute those people who already employed, influence yao ni kubwa sana, Halafu hiyo field ni nzuri akiwa fighter nzuri hawezi kusota kamwe.
 

Hi madam Engg...huyu jamaa angesema pia na B.tech yake ingesaidia pia, hii water environment ni nzuri sana, mi mwenyewe ni Civ Engg bt I wish nifanye hii field ya water au environmental for PG...na bado natafuta huo mchongo.
 
Jf naipenda sana coz nothing has got no solution/answer. mimi nategemea kuanza my masters in water resources management this year. nimeplan nikimaliza nije nianzishe ka-NGO itakayo jihusisha na water supply in communities zenye shida ya maji... so i dont think is wise kumdiscourage mtu, tupeni constructive ideas ndugu zenu
 
all the best ..
 
kazi utapata tu kaka, lakini ukiweza kujiajiri italipa zaidi. karibu nyanda za juu kusini, tuna project nyingi huku za umwagiliaji na hatujasoma mambo hayo na bado Mapito yetu yananyooka vilevile!
 


yaani mkuu samahani sana ila ukweli nimekudharau na mawazo yako yalivyo mabovu kichwani mwako ulitaka asome nini, huwezi amini shemeji yangu alisoma diploma ya mapishi pale arusha baadae wakampeleka nje kusoma kakaa huko mpka master ya mambo ya mapishi alirudi bongo kapata kazi hoteli ya utalii arusha sasa kaenda zake ujerumani ni mpishi mkuu msaidizi katika hotel moja IBIS frankfurt German analisha ndugu zake kashapata maendeleo ya kutosha kwake leo hii utamuita mjinga?? jipange vizuri mkuu usimdharau eti kisa kasoma mambo ya maji unajua kuwa tuna watalaam wachache sana wa maji hapa nchini?? na tunawahitaji sana. ulichonacho kishikilie na kamwe cha mwenzako kiheshimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…