Ni kwanini sisi watanzania tutumie chanjo Ya Johnson & Johnson na ilihali Zanzibar wanatumia chanjo kutoka China(naomba kusahihishwa kama ni uongo)
Je mbona hatusikii tena vifo, au wagonjwa wa COVID - 19 katika nchi ya China ? Ina mana chanjo yao ni "effective" sana kuliko nyingine?
Ni hayo tu.
Akili ya kuwaza hivyo anayo?Kwa hiyo Gwajima alichomwa chanjo Feb 2020 kabla hata Covid kuwepo na kabla hata chanjo kugunduliwa?
Shukran kwa majibu mazuri mkuu mana nlikua najiuliza, tanzania iliundwa baada ya muunganiko wa tanganyika na zanzibar,, sasa nilitegemea chanjo tuchome za aina moja.