The Monk
Platinum Member
- Oct 12, 2012
- 20,242
- 45,930
Mimi sio mtaalam but napitia pitia article za magari ya umeme
Kama nissan iko hivyo basi Tesla itakuwa Better ..since Tesla wao Betri Yao ni lithium
Kama ya simu..
Naamini Tesla itakuwa Ku charge nafuu zaidi na inakwenda kilomita nyingi zaidi .
Niliona last year Tesla wanataka kutoa malori yanayokwenda kilomita 300 bila kuchaji tena..
So kadri technology inavyozidi Ku improve baasi itakuwa cheaper na more reliable
Nimefurahi kusoma maoni yako mkuu.
Mie kuna jambo nafuatilia kuhusu haya magari ya umeme.
Nataka kujua yanahitaji power rating ya kiasi gani? ( mfano ile system yake ya motor na mifumo ya kuendesha gari inahitaji volts na currwnt ampere ngapi)
Ili kama nikiwezakuwa na kifaa cha kuzalisha umeme wa hicho kiwango, kitumike badala ya hizo battery, sitahitaji ku charge tena.
Namaanisha kifaa kinachozalisha umeme bila kutumia nishati ya mafuta au solar.