Nuhu Juliani
Member
- Mar 26, 2018
- 11
- 7
Habali zenu wadau
... Naombeni msaada mimi huwa naisi mtikisiko mwilini mda mwingine tumboni kwenyekigimbi ,mikononi na niakapo asubuhi misuli inaniuma sana na inakuwa ya kijani ila baadae hupungua kidogo ukijani wa kwenye misuli hasa mkononi
.... Inaweza kuwa nina ugwanjwa gani na unasababishwa na nini ?