Nina matatizo yafuatayo, naomba ushauri kwa yeyote mwenye mapenzi mema

Joined
May 4, 2013
Posts
27
Reaction score
22
Nimekuwa mgonjwa kuanzia mwaka 1994 ambapo mpaka sasa nina miaka 19 nikiwa mgonjwa. Dalili za tatizo langu ni hizi:
1. moyo kwenda mbio na kutokwa jasho kiasi cha kukosa hata usingizi,
2. Mwili kuwa dhaifu, kizunguzungu na wakati mwingine kuanguka na kupoteza fahamu,
3. Kichwa kuuma siku zote na nyayo za miguu kuwaka moto,
4. Kusikia maumivu makali kifuani upande ulipo moyo; maumivu ambayo huandamana na mkono wa kushoto,
5. Moyo kwenda mbio ninapokasirishwa au ninapopatwa na jambo la kuogofya.
Aidha nimetumia madawa mbalimbali ya BP toka hospitali mbalimbali kama vile hospitali ya mkoa ya Kigoma na hospitali ya rufaa ya Bugando bila mafanikio yoyote. Sasa nimekata tamaa kwani kwa sasa tatizo limezidi kunitesa natamani sasa nitoweke duniani kulingana na maumivu ninayopata. Kwa yeyote atakayeguswa anisaidie. Mawasiliano yangu ya email ni
mashakafene@yahoo.com na namba ya simu ni 0787-468179, 0763-233106
 
Ndugu yetu pole sana! Huyu Fadhili Paul amesema atakupigia kesho msikilize ni mdau mzuri wa hii page, lkn pia nina imani Mzizi mkavu atakuja hapaa kukupa ushauri mzuri.
Asante!
 
Mkuu.@Mashaka Fene Kwa maelezo yako uliyo yatoa inaonyesha wewe una pepo mbaya aliye kukumba kwenye maji au ziwani au karibu na maji ya mto au njiani nenda Hospitali kapime Damu na kamilize vipimo vyote ikishindikana nitumie mimi Email barua ya pepe nitaweza kukusaidia Address yangu hii hapa fewgoodman@hotmail.com

Ndugu yetu pole sana! Huyu Fadhili Paul amesema atakupigia kesho msikilize ni mdau mzuri wa hii page, lkn pia nina imani Mzizi mkavu atakuja hapaa kukupa ushauri mzuri.
Asante!
habari yako mkuu Wa kusoma
 
Last edited by a moderator:
Dalili za mtu mwenye jini Mwilini (Pepo)

1.kuna kujitambua kuwa una majini kwa njia mbalimbali.kujitambua kwa njia ya ndoto ya dhahili.

2.dalili za dhahili.
a.kizunguzungu.

b.vitu kutembea tumboni.

c.vicheza mwilini.3

d.kichwa kuuma mara kwa mara.

e.kuhisi mtu anatembea nyuma yako.

f.kupiga mihayo sana.

g.macho kukosa aibu.

h.hasira za mara kwa mara.

i.kupoteza kumbukumbu.

j.ugomvi wa mara kwa mara.

k.maradhi ya kujibadilisha badilisha.

l.kuhisi baridi mara kwa mara.

m.kutojisikia kuongea hasa wakati unapossemeshwa na mtu unaona kama

anakusumbua.

n.masiko kupiga kelele.

o. Kuhisi vitu vinaongea masikioni.

p.kupoteza hela mara kwa mara kwa njia ya kutatanisha.

q.kuharibikiwa na vitu hasa vya moto.

r.matatizo ya hedhi kufungika au kutoka kwa wingi au kukosa kabisa.

s.kufungika kwa kizazi.

t kustuka stuka

u.moyo kuongoka sawa na mtu mwenye presha.

v.kupungukiwa damu na kukonda au kuishiwa maji mwilini.

w.kupungukiwa nguvu za kiume au za kike.

x.kusikia uchungu wakati wa tendo la ndoa au unapomaliza.

y. Kuhisi kichefuchefu unapomaliza tendo la ndoa.

z.kuhisi manukato au harufu mbaya.

aa.kukosa hamu ya kula au kubagua chakula.

bb.mimba kupotelea tumboni.

cc. Kuhisi watu wanakusemesha na hauwaoni.

dd.kifafa.

ee.kichaa.

ff.pia majini humsababisha mwanamke kuwa mkali wakati anapoombwa

tendo la ndoa.

3.dalili katika ndoto.

a.ndoto za kufukuzwa na wanyama wakali.

b.ndoto za kuota unajifungua.

c. Kuota unapigwa.

d.ndoto za kuogelea.

e. Ndoto za kupaa.

f.ndoto za kuota umepandishiwa jini.

g. Ndoto za kuota umeoa au umeolewa.

h.kuota umevalishwa pete au mkufu.

i.kuota unapigana.

j.kuota unapiga kelele.

k.kuota moto mkubwa.

l. Kuota unazika.

m.kuota umekufa.

n.kuota unafukua kabuli.

o.kuota sherehe mara kwa mara.

p.kuota unaongea na watu waliokufa.

z.kuota unaona visuguu.

aa.kuota unaona mafuvu wa watu.

bb.kuota unapiga ramli.

cc.kuota unavaa bangili au shanga.

dd.kuota watu wanachunga ng,ombe.

ee.kuota watu wamevaa nguo nyeupe..

ff.kuota unakabidhiwa mkuki,fimbo,mundu,mbuzi,kondoo,ng,ombe

na kitambaa cheupe.

gg.kuota vijumba vya mizimu.

hh.kuota vibuyu.

ii.kuota unakunywa au unanyeshwa damu.

kk.kuota watu wamevaa kanzu .

hizi ni dalili za majini kwa njia za ndotoni japo zipo nyingi ila nawatajia hizi hapa

kwa ufupi. Ukitaka Matibabu wasiliana na mimi kwa njia ya Email yangu hii hapa fewgoodman@hotmail.com
 
Njoo kwa Yesu maana Yesu huwa hashindwi kamwe na huwapokea wote wenye kulemewa na mizigo na kuwapumzisha mahali pema ambako hawatosumbuliwa tena.

Hapo naona una mzigo mkubwa ambao Yesu Kristo anaweza kukupokea kwani aliteswa pale msalabani ili kuwakomboa wale wote waliofungwa na nguvu za shetani.

Omba kila utakapo kulala na pindi uamkapo, Pia usisahau kusoma neno la Mungu kwani kufanya hivyo kutakufanya utamchukiza shetani na kumfanya akose chake na hivyo kumrusu Yesu kufanya yake katika mwili wako.
 
Pole sana ndugu yangu kwa mateso ya muda mrefu.Ila usikate tamaa,nakushauri uende kwenye maombi kwani Mungu anakujua zaidi ya madaktari hata kama hospitali wameshindwa Mungu hashindwi kukusaidia kwani ndiye aliyekuumba,nenda kaombewe ndugu bila kujali tofauti ya imani au dhehebu weka imani yako kwa mungu atakusaidia,wapo wengi wanapona kwa njia ya maombi,Naomba mwenyezi mungu akusaidie upone haraka
 
Ninahisi una ugonjwa wa moyo au hata T.B inaweza kukufanya hivyo au hata figo. Jaribu kupima moyo, figo, maini na viungo vingine vya ndani khalafu tuwasiliane.
 
I will call you soon, pole sana, kwa mtazamo wangu hili ni tatizo la moyo possible ni myocardial infarction. Case kama hizi nimeshawahi kukutana nazo. Natumia simu it will be better when i call than to write
 
Nimekuwa mgonjwa kuanzia mwaka 1994 ambapo mpaka sasa nina miaka 19 nikiwa mgonjwa. Dalili za tatizo langu ni hizi:
1. moyo kwenda mbio na kutokwa jasho kiasi cha kukosa hata usingizi,
2. Mwili kuwa dhaifu, kizunguzungu na wakati mwingine kuanguka na kupoteza fahamu,
3. Kichwa kuuma siku zote na nyayo za miguu kuwaka moto,
4. Kusikia maumivu makali kifuani upande ulipo moyo; maumivu ambayo huandamana na mkono wa kushoto,
5. Moyo kwenda mbio ninapokasirishwa au ninapopatwa na jambo la kuogofya.
Aidha nimetumia madawa mbalimbali ya BP toka hospitali mbalimbali kama vile hospitali ya mkoa ya Kigoma na hospitali ya rufaa ya Bugando bila mafanikio yoyote. Sasa nimekata tamaa kwani kwa sasa tatizo limezidi kunitesa natamani sasa nitoweke duniani kulingana na maumivu ninayopata. Kwa yeyote atakayeguswa anisaidie. Mawasiliano yangu ya email ni
mashakafene@yahoo.com na namba ya simu ni 0787-468179, 0763-233106

Japo MziziMkavu ni mtaalam wa madawa na ni dokta aliyeteuliwa hapa JF, ninaweza kukuambia kwa niaba yake kuwa huu ni ugonjwa wa presha. Huenda una moyo mkubwa ama tundu kwenye moyo wako hivyo inabidi uchunguzwe kwa kina zaidi.
 
Last edited by a moderator:
Japo MziziMkavu ni mtaalam wa madawa na ni dokta aliyeteuliwa hapa JF, ninaweza kukuambia kwa niaba yake kuwa huu ni ugonjwa wa presha. Huenda una moyo mkubwa ama tundu kwenye moyo wako hivyo inabidi uchunguzwe kwa kina zaidi.
Mkuu Mkereketwa_Huyu itabidi aende Hospitali ya Muhimbili kuangalia vizuri kuna watalam watamjuwa anaumwa kitu gani? ikishindikana hapo hospitali ya muhimbili ndio arudi tena hapa jamvini atupe feedback tutaweza kumsaidia kwa Dawa zetu za Tiba Mbadala. Kwanza akaonane na Ma-Daktari mabingwa hapo hospitali ya Muhimbili Dares-Salaam.
 
Last edited by a moderator:
Nimekuwa mgonjwa kuanzia mwaka 1994 ambapo mpaka sasa nina miaka 19 nikiwa mgonjwa. Dalili za tatizo langu ni hizi:
1. moyo kwenda mbio na kutokwa jasho kiasi cha kukosa hata usingizi,
2. Mwili kuwa dhaifu, kizunguzungu na wakati mwingine kuanguka na kupoteza fahamu,
3. Kichwa kuuma siku zote na nyayo za miguu kuwaka moto,
4. Kusikia maumivu makali kifuani upande ulipo moyo; maumivu ambayo huandamana na mkono wa kushoto,
5. Moyo kwenda mbio ninapokasirishwa au ninapopatwa na jambo la kuogofya.
Aidha nimetumia madawa mbalimbali ya BP toka hospitali mbalimbali kama vile hospitali ya mkoa ya Kigoma na hospitali ya rufaa ya Bugando bila mafanikio yoyote. Sasa nimekata tamaa kwani kwa sasa tatizo limezidi kunitesa natamani sasa nitoweke duniani kulingana na maumivu ninayopata. Kwa yeyote atakayeguswa anisaidie. Mawasiliano yangu ya email ni
mashakafene@yahoo.com na namba ya simu ni 0787-468179, 0763-233106

kuna matatizo yanatibiwa na kifo
 
Mashaka Fene,

Pole kwa tatizo lako, pamoja na maelezo mazuri ningependa kuuliza mambo kadhaa;
- Una umri gani? Urefu na uzito wako,
- Je, unatumia aina yeyote ya kileo/kilevi, mf. Pombe, kahawa, uvutaji wa sigara?
- Ulaji wako wa vyakula ukoje? hasa vyakula vya mafuta, chumvi au vyakula visivyo vya mafuta lakini vilivyotengenezwa kwa mafuta mengi?
-Katika familia/ukoo kuna ndugu yeyote aliyewahi kusumbuliwa na tatizo la shinikizo kubwa la damu ("presha"), kiharusi, kisukari?
-Ni vipimo gani na kwa majibu yapi uliyowahi kufanya? Pia ni dawa gani umekuwa ukitumia kwa tatizo lako, kayi ya hixo ni zipi/ipi iliyokupa unafuu?
 
Last edited by a moderator:
Ikiwa ulikwenda hosptal na hali bado haijakuwa nzuri nakushauri kawaone wazee wa upande wa baba yako
Kaa nao ukiwa mwenye matumaini hao watakusaudia mimi nina imani wao watakusadia tuu
Niko mbali na Tanzania vinginevyo tunge muomba mungu akuondolee uzito wa maradhi ulio nao kwa iman ya allah
La natumai wana JF wengine watasikia kilio chako na kukuelekeza wapi pa kupata tiba
NATUKAKIA KILA LA KHERI
 
Dalili za mtu mwenye jini Mwilini (Pepo)

1.kuna kujitambua kuwa una majini kwa njia mbalimbali.kujitambua kwa njia ya ndoto ya dhahili.

2.dalili za dhahili.
a.kizunguzungu.

b.vitu kutembea tumboni.

c.vicheza mwilini.3

d.kichwa kuuma mara kwa mara.

e.kuhisi mtu anatembea nyuma yako.

f.kupiga mihayo sana.

g.macho kukosa aibu.

h.hasira za mara kwa mara.

i.kupoteza kumbukumbu.

j.ugomvi wa mara kwa mara.

k.maradhi ya kujibadilisha badilisha.

l.kuhisi baridi mara kwa mara.

m.kutojisikia kuongea hasa wakati unapossemeshwa na mtu unaona kama

anakusumbua.

n.masiko kupiga kelele.

o. Kuhisi vitu vinaongea masikioni.

p.kupoteza hela mara kwa mara kwa njia ya kutatanisha.

q.kuharibikiwa na vitu hasa vya moto.

r.matatizo ya hedhi kufungika au kutoka kwa wingi au kukosa kabisa.

s.kufungika kwa kizazi.

t kustuka stuka

u.moyo kuongoka sawa na mtu mwenye presha.

v.kupungukiwa damu na kukonda au kuishiwa maji mwilini.

w.kupungukiwa nguvu za kiume au za kike.

x.kusikia uchungu wakati wa tendo la ndoa au unapomaliza.

y. Kuhisi kichefuchefu unapomaliza tendo la ndoa.

z.kuhisi manukato au harufu mbaya.

aa.kukosa hamu ya kula au kubagua chakula.

bb.mimba kupotelea tumboni.

cc. Kuhisi watu wanakusemesha na hauwaoni.

dd.kifafa.

ee.kichaa.

ff.pia majini humsababisha mwanamke kuwa mkali wakati anapoombwa

tendo la ndoa.

3.dalili katika ndoto.

a.ndoto za kufukuzwa na wanyama wakali.

b.ndoto za kuota unajifungua.

c. Kuota unapigwa.

d.ndoto za kuogelea.

e. Ndoto za kupaa.

f.ndoto za kuota umepandishiwa jini.

g. Ndoto za kuota umeoa au umeolewa.

h.kuota umevalishwa pete au mkufu.

i.kuota unapigana.

j.kuota unapiga kelele.

k.kuota moto mkubwa.

l. Kuota unazika.

m.kuota umekufa.

n.kuota unafukua kabuli.

o.kuota sherehe mara kwa mara.

p.kuota unaongea na watu waliokufa.

z.kuota unaona visuguu.

aa.kuota unaona mafuvu wa watu.

bb.kuota unapiga ramli.

cc.kuota unavaa bangili au shanga.

dd.kuota watu wanachunga ng,ombe.

ee.kuota watu wamevaa nguo nyeupe..

ff.kuota unakabidhiwa mkuki,fimbo,mundu,mbuzi,kondoo,ng,ombe

na kitambaa cheupe.

gg.kuota vijumba vya mizimu.

hh.kuota vibuyu.

ii.kuota unakunywa au unanyeshwa damu.

kk.kuota watu wamevaa kanzu .

hizi ni dalili za majini kwa njia za ndotoni japo zipo nyingi ila nawatajia hizi hapa

kwa ufupi. Ukitaka Matibabu wasiliana na mimi kwa njia ya Email yangu hii hapa fewgoodman@hotmail.com

baada ya madawa ya kulevya huu usanii wa mzizimkavu ndio unafatia kwa kutengeneza hela nyingi
 
Back
Top Bottom