Tegelezeni
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 268
- 124
namaanisha mwili wangu, kwani wewe ulidhani nazungumzia maumbile mgani?unaposema maumbile unajua unacho maanisha?
namaanisha mwili wangu, kwani wewe ulidhani nazungumzia maumbile mgani?
tatizo mke wangu analaumiwa sana na ndugu zangu, eti hanipi chakula na yeye hana amani kabisami nilizoea mtu akisema maumbile ni tafsida ya deepstick a.k.a mlizo
Nirudi kwenye mada,usipende kunenepa walio wanene wanatamani kupungua,upende mwili wako kunywa maji meng kwa siku ili mwili umelemete
tatizo mke wangu analaumiwa sana na ndugu zangu, eti hanipi chakula na yeye hana amani kabisa
Nimekuelewa mkuu, tatizo waifu ananung'unika mno!mkubwa!nimegundua tatizo liko wap
Wewe ni mtu unaeishi kwa kusikiliza maneno ya watu,unaumizwa sana na majungu.nakushauri ishi utakavyo na si watu watakavyo,amini uyapangayo na si ndugu wakupangiayo,tumia kwa uwezo wako na si kwa kuwafurahisha ndugu.
Nimekuelewa mkuu, tatizo waifu ananung'unika mno!