Nina maumbile madogo mpaka najishangaa!


Ndo hapo sasa! Zakari ndo kila kitu
 
platozoom namaanisha maumbile yangu ya mwili ni madogo, sinenepi wala nini, wakati nakula vizuri tu

Una maana ni mwembamba kupita kiasi? Kuna wembamba wengi ambao ni warefu na hawa hawawezi kuambiwa wana umbo dogo, na pia kuna vifupi ambavyo ni vinene vimejaza na hawa huambiwa wana umbo dogo, sasa wewe uko vipi?
 
ushauri.1.kapime afya yako.2.punguza kufanya mapenzi 3.kama unavuta sigara acha mara moja.4.ndoa yako ni yako achana na maneno ya familia.
 
kuwa muwazi,umekonda baada ya kuoa mkeo au tangu kwenu?maana kama ndivyo ulivyo tangu hata hujaoa,hao ndugu wanampaje lawama mkeo?
tatizo mke wangu analaumiwa sana na ndugu zangu, eti hanipi chakula na yeye hana amani kabisa
 
una kilo 20 au...? kama ni hivyo, you need to be concerned
 
Sasa wanamlaumu mkeo kwani kabla hujaoa ulikua mnene??ndugu wengine hovyo kweli!
 
Judgement, Hhahahaaa hilo nalo neno.....

@mleta sredi:-
Swali kwa ndugu zako, wanadhani mkeo hakulishi ina maana hata ulivyokuwa unaishi
kwenu ulikuwa na kimwili cha kishakaji hivyo
hivyo ina maana walikuwa hawakupi msosi? Wakati unajitegemea pia ulikuwa huli?

 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…