Niko nayo hapa mkononi, enhe..๐ chukua ile rula tena alafu nikupe maelekezo ya cm. Ukishachukua sema
Hii mbinu nusu ya wanaume wataenda kujaribu,sema tu matokeo ndo hawataleta ila ukweli ni kwamba hata ufanye nini hutaongeza hata robo sentemita.Tallbata tafuta mafuta ya mzaituni MLS 10, - chupa 3.
๐Kitunguu swaumu robo kilo, Kisha vitwange mpaka vilainike.
๐Kaanga katika sufuria hayo mafuta na vitunguu swamu.
๐Mpaka vibadilike rangi, Kisha acha yapoe na uhifadhi katika chupa ndogo yenye mfuniko.
๐Kabla ya kuanza kutumia dawa, pima ukubwa na urefu was uume wako- ili ufahamu.
๐Utakuwa una uchua uume wako kwa maji ya uvugu vugu(ndani ya dk 15).
๐Kisha ndo una Chua uume kwa mafuta hayo, uliyo andaa.
๐Hakikisha haumwagii, maana ni hatari na haifai(Utakuwa mwanachama was nyetooz).
๐ Tumia wiki 2- 4 Natumai Utaona mabadiliko. ๐
Igeuze upande wa cm isome vizuri injinia๐Niko nayo hapa mkononi, enhe..
Kaka kumbe we ni dokta alafu unaita watu nusu albino ๐Mimi sija umwa tatizo hilo,๐๐, ila nime jifunza dawa baadhi na kuwapa watu.
๐Zime wasaidia baadhi ty๐ค, nusu albino niaje๐๐๐
Wabongo kwa kukatishana tamaa mpo vizuri.Mzee hatari sie wenye vibamia tunadharauliwa sana na hawa wanawake. Mwenzio nilienda mpaka mbeknyera huko kwa mganga nikuze kibamia changu lakini hamna lolote bado kipo vile vile.
Mzee tujikubali tuu imekula kwetu kwenye hiyo sector
Sawasawa, tayari zinasomeka vizuri kabisa kuanzia moja hadi sate๐.. enheIgeuze upande wa cm isome vizuri injinia๐
nna imani ni rula ya aina hii๐Sawasawa, tayari zinasomeka vizuri kabisa kuanzia moja hadi sate๐.. enhe
Wee ๐ฑ๐ฑ๐๐๐nna imani ni rula ya aina hii๐View attachment 2865310
Shida una ujuuaji wa kipuuzi, ngoma huwa Ina ongezeka Kutokana na mzunguko mzuri wa damu.Hii mbinu nusu ya wanaume wataenda kujaribu,sema tu matokeo ndo hawataleta ila ukweli ni kwamba hata ufanye nini hutaongeza hata robo sentemita.
Ndio au we upo na rula gan injinia ๐Wee ๐ฑ๐ฑ๐๐๐
Mkuu watu Wana tofautiana, wengine ni ndogo mno- ikiwa ime lala.Hivi ikiwa wastan inatakiw isome cm ngap ikiw imelala?
na isome cm ngap ikiwa imeamka?
Wakikujibu nitag mkuuHivi ikiwa wastan inatakiw isome cm ngap ikiw imelala?
na isome cm ngap ikiwa imeamka?
Unaijua cm 8 wewe?Cm 8 kaka
Daktari kama daktariMkuu watu Wana tofautiana, wengine ni ndogo mno- ikiwa ime lala.
๐Ila kubwa ikiwa Ime simama.
๐Wengine kubwa ikiwa ime lala, ila hata iki simama Ina ongezeka kidogo tu
๐ฅPole san. Wakati unatafuta dawa kua makiniMimi ni kijana ambae niko mtaani nafanya mishe zangu fresh ila kuna jambo linanitatiza sana, mwenye ujuzi naomba anisaidie.
Ni hivi; nina maumbile madogo ya uume mpaka najiogopa. Nimekuwa nikitemwa na kuzarauliwa na kila msichana ambaye nakuwa naye kwenye mahusiano.
Hii hali huwa inanitesa sana, hivyo kama kuna mdau anajua njia bora na ya asili ya kuongeza maumbile anisaidie hii hali haivumiliki wazee.
Me niko na 30cm rule ya kawaida ๐.. we unanionyesha liruler hilo likubwa๐คNdio au we upo na rula gan injinia ๐