Finegirlone
JF-Expert Member
- Oct 9, 2018
- 1,836
- 3,609
Habar wana Jf,
Mimi nina matatizo ya maumivu kwa muda mrefu sasa hata miaka 4 ninapata maumivu upande wa kushoto juu ya kiuno au niseme chini ya mbavu