Nina mchubuko usiopona njia ya haja kubwa

Machuchu

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2017
Posts
1,260
Reaction score
965
Ze leo ndugu zamgu post kama ivyojieleza, ninamchubuko sehemu moja ambao unanitesa miaka nenda miaka rudi. Hauponi nimehangaika mahospitalini, Pharmacy lakini bado nikipata choo kigumu kidogo natoka hadi damu nilichunguzwa na sio bawasila na wala sina kinyama.

Najitahidi kula matunda, mbogamboga, juic fesh na kunywa maji mengi sana lakini wapi nikifuruliza kupata choo kama uharo kwangu ndio furaha.

Pia nikikabibia kubleed kama bado siku 2 huu mchubuko huuma mno ata kama sijaenda haja kubwa huwa najiulizaga mchubuko huu na maumivi ya kukalibia na [HASHTAG]#Hedhi[/HASHTAG] vinahusiana vipi?

Nisaidie nipone na dawa gani maana hadi dawa za kuingiza uko nimeweka lakini bado. [HASHTAG]#Asanteni[/HASHTAG] kwa wote naomba kuwasilisha.
 
Nenda hospitali kubwa ukachunguzwe,kutakuwa na shida,ila ukiwahi tatizo ni rahisi kupata matibabu na utapona kuliko kusubiria hali iwe mbaya.
 
Duh pole sana make sure vyakula vigumu uepuke na maji iwe sehemu yako kuu ya msosi... wacha wadau waje magonjwa mengi maeneo nyeti huwa ni siri majibu yatasaidia wengi...

Ingekuwa vidonda ndani ya tumbo au Kifua Heligo kit ingekufaa box tatu hadi ziishe ni kupona kabisa
 
Maji yakunywa kwako ni tatizo, cheki minyoo, angalia na fangasi pia. Mwanzoni nikahisi bawasiri ila ushasema huna
 
Akili yako inafikiria kutongoza tu huwezi fikiria mengine ili upate maendeleo makubwa. shida kabisa.
PM ya nn.....hicho unachotaka kumweleza ukikiweka humu shida iko wap .......Yy kaamua Ku expose tatizo lake NA ww expose njia za kutatua hilo tatizo NA si vinginevyo ...otherwise kama yy mwenyewe ameomba hivyo .....
 
Nakushauri kunywa maji mengi sana kila asubui pia tafuta aloe vera au apple cider vineger uwe unapaka sehem yenye huo mchubuko pataanza kupona taratibu kabla yakupaka kama unamda kalia maji ya uvuguvugu ndoo ndgo changanya na detoll kifuniko kimoja mean while usile vyakula vugumu kupaacha paendelee kupona but kma hutoona nenda regency kamuone dr sighn anaitwa ni kuhindi ni mtaalamu sana wa maswala hayo binafsi alinisaidia sana atakishauri ufanye nini
 
Shida itakuwa kwenye maumbile inaonyesha ile nyama inayotenganisha matundu mawili itakuwa ina shida fanya vipimo hosptal mpe dr historia ya ugonjwa wako bila kuficha
 
sio bawasiri kama ni bawasiri nipigie kesho saa 4 mchana
 
Ze leo ndugu zamgu post kama ivyojieleza, ninamchubuko sehemu moja ambao unanitesa miaka nenda miaka rudi. Hauponi nimehangaika mahospitalini, Pharmacy lakini bado nikipata choo kigumu kidogo natoka hadi damu nilichunguzwa na sio bawasila na wala sina kinyama.

Najitahidi kula matunda, mbogamboga, juic fesh na kunywa maji mengi sana lakini wapi nikifuruliza kupata choo kama uharo kwangu ndio furaha.

Pia nikikabibia kubleed kama bado siku 2 huu mchubuko huuma mno ata kama sijaenda haja kubwa huwa najiulizaga mchubuko huu na maumivi ya kukalibia na [HASHTAG]#Hedhi[/HASHTAG] vinahusiana vipi?

Nisaidie nipone na dawa gani maana hadi dawa za kuingiza uko nimeweka lakini bado. [HASHTAG]#Asanteni[/HASHTAG] kwa wote naomba kuwasilisha.
Kama ni mchubuko wa nje, tumia dawa ya Iodine tincture.. Paka asubuhi na wakati wa kulala kwenye njia ya haja kubwa kwa mda wa wiki moja.
 
Nakushauri kunywa maji mengi sana kila asubui pia tafuta aloe vera au apple cider vineger uwe unapaka sehem yenye huo mchubuko pataanza kupona taratibu kabla yakupaka kama unamda kalia maji ya uvuguvugu ndoo ndgo changanya na detoll kifuniko kimoja mean while usile vyakula vugumu kupaacha paendelee kupona but kma hutoona nenda regency kamuone dr sighn anaitwa ni kuhindi ni mtaalamu sana wa maswala hayo binafsi alinisaidia sana atakishauri ufanye nini
Ushauri bora kabisa ubarikiwe
 
Back
Top Bottom