Msela Wa Kitaa
JF-Expert Member
- Oct 8, 2021
- 1,396
- 2,704
Vipi ikigonga mwambaSio penati coz kipa alishaucheza
Hapana haitahesabika goli bali wataihesabu kama goal kickHarafu Tena mpira wa kurusha ,mfano mpira ikatoka nje ukawa mpira wa kurusha ,mchezaji akarusha mpira Hadi golini vip Hilo linakuwa goli au ?
Sio goli hiyo itakuwa marede sasaHarafu Tena mpira wa kurusha ,mfano mpira ikatoka nje ukawa mpira wa kurusha ,mchezaji akarusha mpira Hadi golini vip Hilo linakuwa goli au ?
Habari za mwamko waungwana,
nimejiuliza hili swali nikashindwa kupata majibu.
Kwa mfano timu A inacheza na timu B, Timu A wakapata penati, mchezaji wao akaipiga na kipa wa timu B akaitema mpira ukarudi uwanjani na kumkuta mchezaji mmojawapo wa timu A akafunga.
Je, hilo bao litahesabiwa kuwa ni la penati?
Sio goli.....inakuwa Ni goal kiki....kwenye football hakuna magoli ya mikonoHarafu Tena mpira wa kurusha ,mfano mpira ikatoka nje ukawa mpira wa kurusha ,mchezaji akarusha mpira Hadi golini vip Hilo linakuwa goli au ?
Hamna, ni juu yako mpigaji.Kipindi Cha nyuma kulikua na inderect kick, je kipindi hiki Bado ipo?
Nawewe unamiaka mingapi unafuatilia mpira wa miguu?Harafu Tena mpira wa kurusha ,mfano mpira ikatoka nje ukawa mpira wa kurusha ,mchezaji akarusha mpira Hadi golini vip Hilo linakuwa goli au ?
Yoh hatutaki maswali magumu hahaaaVipi ikigonga mwamba
🤣🤣🤣Sio goli hiyo itakuwa marede sasa
Safi sanaHapana haitahesabika goli bali wataihesabu kama goal kick