Nina Miaka 22 ila sijawahi Sex kabisa na Mwanamke yeyote na ninaogopa sana

Hahahahaha Dahhhhhhhh Kweli Mkuu Nimeelewaaa
 
Wakuu Mnaendeleaje Mimi Ni Kijana Sahivi Nina Miaka 22 Ila Sijawahi Sex Kabisa Na Mwanamke Yoyote Na Ninaogopa Sana Hilo Tatizo Linaweza Kuwa Nini Kwa WENYE Utalaamu Kabisa Na Ikoje Hiii??
Kaa na Babu yako umweleze hii habr utanishukuru
 
Sasa dogo ukifa leo ukifika mbingun ukaambiwa kujaamiana haikua dhambi itakuaje?si utakufwa tena wee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…