Nina Miaka 27 lakini watu wananiona kama mzee

Mipombe na misigara hiyo... Jaribu kuacha.
 
Mimi Nina 30 lakini naonekana mdogo Tena watoto wa 2000 wana Niita dogo mimi nawa kaushia tu.
 
Muulize Humphrey Polepole, ana ugonjwa kama wako.

Tiba ya maradhi yako ni pesa ndugu. Tafuta pesa, utafanania rika lako.
 
Tuwekee kwanza picha Yako mkuu kama hutojali
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Punguza gubu mkuu, gubu hua linazehesha haraka bila ya wewe kujihisi kua unazeeka.
 
hilo ni umbile lako kakupa Mungu wala usijali
 
Picha plz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…