900 Itapendeza zaidi
JF-Expert Member
- Nov 19, 2017
- 7,704
- 9,186
sasa katoe sadaka za shukurani kwa Mungu, vinginevyo utalazwaHabari ndugu zangu
Hiii ni hali ya kawaida kwa binadamu kweli yaani miaka yote hiyo sijawahi umwa hata tumbo, naomba kuuliza ni hali ya kawaida?
Hiyo ndio imekufanya usiumwe muda wote?
Nina umri wa miaka 30Inawezekana bado una umri mdogo,wengi tulikuwa hivyo!
Habari ndugu zangu
Hiii ni hali ya kawaida kwa binadamu kweli yaani miaka yote hiyo sijawahi umwa hata tumbo, naomba kuuliza ni hali ya kawaida?