Nina miaka 62 sijawahi kuumwa:Ustaadhi Nturuko

Pastor Achachanda

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2012
Posts
3,023
Reaction score
1,315
Wadau nipo Iringa Frelimo kuna jamaa hapa ananadi bidhaa za afya(chakula dawa) na hajawahi kuumwa.Mfano wa kuigwa loh!
 
Usidanganyike huyo mwongo yaani hata homa za utotoni?Hata kichwa?Kwa dunia hii huwezi kuwa na miaka hiyo usiumwe.
 
Mkuu Nyoni hujaelewa sawasawa.Homa za utotoni pengine hakuzigusa.Kuna mdau humu babu yake(107) alikufa haijui panadol
 
naona mmekosa vya kuongea na kuamua kuwadanganya watu wazima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…