Nina mida wiki sasa vipele sehemu za siri vinawasha na kwenye mikono

Mtukutu Mkuu

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2022
Posts
1,117
Reaction score
1,403
Habari za muda huu wanajamvi Nina mida wiki Sasa vipele Sehemu za Siri vinawasha na kwenye Mikono ila sana Sanaa Sehemu za Siri mapajani Kuna vipere vimekuwa vikubwa kiasi na vinawasha kama vijibu yaani

Nimetumia dawa lakini naona ishu bado
 
Tumia scaboma ya kupaka
 
Kuna mambo natitaji kujua:

1: Ni muda gani vinawasha zaidi kati ya usiku na mchana?

2: Kuna mgeni alikuja kwako au ulienda kutembelea sehemu ndani ya wiki kabla ya muwasho kuanza?

3: Pamoja na kuwasha sehemu zote za mwili, je hali ikoje kwenye sehemu za mikunjo/joints?

4: Kama una familia, je kuna ndugu au rafiki ambaye ana tatizo kama lako?

NB: Hii itasaidia jinsi ya kupambana na tatizo husika kwa ukamilifu.
 
Wewe ni mtukutu ukiambiwa kimasihara sio nzuri mbishi, anza kuacha utukutu DR SANTOS kuna mgonjwa wa kuchomwa sindano ya ng’ombe huku [emoji12]
 
Kuna mambo natitaji kujua:

1: Ni muda gani vinawasha zaidi kati ya usiku na mchana?

2: Kuna mgeni alikuja kwako au ulienda kutembelea sehemu ndani ya wiki kabla ya muwasho kuanza?

3: Pamoja na kuwasha sehemu zote za mwili, je hali ikoje kwenye sehemu za mikunjo/joints?

4: Kama una familia, je kuna ndugu au rafiki ambaye ana tatizo kama lako?

NB: Hii itasaidia jinsi ya kupambana na tatizo husika kwa ukamilifu.
Nitafatilia mzee
 
Tuma picha tukusaidi, magonjwa ya ngozi ni mengi, mengine yanasababishwa na vijidudu vya zinaa, mengine ni fungus, bacteria au allergy hata baadhi ya wadudu kama scabies, chawa na viroboto.
 
Habari za muda huu wanajamvi Nina mida wiki Sasa vipele Sehemu za Siri vinawasha na kwenye Mikono ila sana Sanaa Sehemu za Siri mapajani Kuna vipere vimekuwa vikubwa kiasi na vinawasha kama vijibu yaani

Nimetumia dawa lakini naona ishu bado
Kapime vvu ukiambiwa ni negative kamwone Dk. wa magonjwa ya ngozi
 
Habari za muda huu wanajamvi Nina mida wiki Sasa vipele Sehemu za Siri vinawasha na kwenye Mikono ila sana Sanaa Sehemu za Siri mapajani Kuna vipere vimekuwa vikubwa kiasi na vinawasha kama vijibu yaani

Nimetumia dawa lakini naona ishu bado
Nenda hospitali haraka na ukipona acha ngono zembe!
 
Jaman kuna haka kaugonjwa ka kuwasha korodon usiku kukiwa na joto kama kuna baridi mambo ni murua eti wandugu kapo au nimetoa siri ya kambi
 
Back
Top Bottom