Nina mil 2 nataka nimfungulie biashara mke wangu,je itatosha?

Nina mil 2 nataka nimfungulie biashara mke wangu,je itatosha?

MENISON

JF-Expert Member
Joined
Apr 26, 2013
Posts
726
Reaction score
621
Nipo Dar nafanya kazi nimeajiriwa ,kwa sasa nina mil 2 nahitaji msaada wa biashara ya kufanya na mke wangu kwa kuanzia.Naishi maeneo ya kimara baruti na mke wangu anakaa tu home ,yeye anataka nimfungulie biashara lakini mtaji ninao mdogo,Naombeni ushauri
 
Kwa hapo Dar pikipiki bei nafuu sana. Mnunulie moja na aanze kazi ya bodaboda. Atapiga hela nakwambia hadi basi.
 
Back
Top Bottom