Nina Mil 3 je nitaweza kupata Carina Ti My world?

Nina Mil 3 je nitaweza kupata Carina Ti My world?

Dah sikukatishi tamaa ila kwa pesa hiyo utapata gari ambayo itakushughulisha na kukulipisha pesa zaidi ambazo ungeweza kusubiri na kuongezea ukapata gari ya maana.
Iko hivi oviaz gari ya pesa hiyo asilani hutaikuta nzima hata kama inatembea, sasa hapo kwenye matengenezo ndio utajuta, na kama pesa yenyewe ni ya mawazo unaweza liweka juu ya mawe.
 
Mie nilichomwelewa mleta mada anataka kuondoa mkosi kwenye ukoo yaani awe wa kwanza kumiliki gari bila kujali linatembea au la cha msingi liwepo linaonekana hapo kwake tu kuku watakuwa wanaingia kutagia mayai.
Ndugu mleta mada usikatishwe tamaa na comments za wadau ushindwe kufikia malengo yako ya kumiliki mchuma
Utapata gari mpaka za 1m cha msingi cheza na wale mafundi wenye gereji kubwa mjini
 
Back
Top Bottom