Nina mil 7 nahitaji gari IST

Nina mil 7 nahitaji gari IST

Stv Mkn

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2012
Posts
328
Reaction score
273
Habari wadau,

Naitaji gari ya kununua kwa mtu.

Iwe Toyota IST.

Cc 1290 (isiwe zaidi ya hizo)

Isiwe imeguswa injini

Namba D ndio itapewa kipaumbele.

Siitaji dalali, sababu sina pesa ya dalali.

Aliye na gari anitumie meseji kwenye Pm

au anipe namba yake nitamtafuta...Kama gari ipo ata leo tunafanya biashara.

Natanguliza shukrani, nipo DSM
 
Mie sihusiki na hiyo mitandao do it hata your own risk. Mie nanunua kwa washikaji ila hizo ni bei elekezi tena zikiwa na cha juu. Ukiingia mtaani unapata chini ya hapo
 
Mie sihusiki na hiyo mitandao do it hata your own risk. Mie nanunua kwa washikaji ila hizo ni bei elekezi tena zikiwa na cha juu. Ukiingia mtaani unapata chini ya hapo
Nimefatilia nimeambiwa ikiingia bara inakadiriwa upya na TRA ata kama umenunua kwa mtu.
 
Kuna BMW safi kabisa namba D ina katatizo fulani kadogo haiwaki🐒
 
Back
Top Bottom