Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 16,908
- 19,123
Habari wadau,
Naitaji gari ya kununua kwa mtu.
Iwe Toyota IST.
Cc 1290 (isiwe zaidi ya hizo)
Isiwe imeguswa injini
Namba D ndio itapewa kipaumbele.
Siitaji dalali, sababu sina pesa ya dalali.
Aliye na gari anitumie meseji kwenye Pm
au anipe namba yake nitamtafuta...Kama gari ipo ata leo tunafanya biashara.
Natanguliza shukrani, nipo DSM
Nunua hapa nyumbani hata likiwa juu kidogo; Huko ZNZ usijaribu bila mwenyeji, utaibiwa! na gari usipateAu ingia @magari_used_zanzibar_
Poa mkuuCheck me 0678604333
nakutafutia chombo kilichonyooka!!
udalali laki 1.
Nissan patrol/safari iliyonyooka kwa 7m,inapatikana? Ata ikiwa short chassisCheck me 0678604333
nakutafutia chombo kilichonyooka!!
udalali laki 1.
Mhh hii gari imezunguka sana.
IstHabari wadau,
Naitaji gari ya kununua kwa mtu.
Iwe Toyota IST.
Cc 1290 (isiwe zaidi ya hizo)
Isiwe imeguswa injini
Namba D ndio itapewa kipaumbele.
Siitaji dalali, sababu sina pesa ya dalali.
Aliye na gari anitumie meseji kwenye Pm
au anipe namba yake nitamtafuta...Kama gari ipo ata leo tunafanya biashara.
Natanguliza shukrani, nipo DSM
Nicheki ipo mkuuHabari wadau,
Naitaji gari ya kununua kwa mtu.
Iwe Toyota IST.
Cc 1290 (isiwe zaidi ya hizo)
Isiwe imeguswa injini
Namba D ndio itapewa kipaumbele.
Siitaji dalali, sababu sina pesa ya dalali.
Aliye na gari anitumie meseji kwenye Pm
au anipe namba yake nitamtafuta...Kama gari ipo ata leo tunafanya biashara.
Natanguliza shukrani, nipo DSM
ina changamoto gani? mimi nimefanya ku screenshot twitter tu!.Mhh hii gari imezunguka sana.
Poa mkuuNicheki ipo mkuu
Sijaielewa ina vipengele vingi mkuuina changamoto gani? mimi nimefanya ku screenshot twitter tu!.
Hiyo niliyokutumia hujaipenda nin mkuuSijaielewa ina vipengele vingi mkuu
Nimetumiwa nyingi mkuu sijui wewe ni yupi, ila nyingi ni za madalali nilikuwa tayari nnazo.Hiyo niliyokutumia hujaipenda nin mkuu
Mkuu very sorry nilioverlook nakufata PMHiyo niliyokutumia hujaipenda nin mkuu
Bado ipo hii gari?
Nipe namba pm mkuuMwenyewe alishaiuza kiongozi..
Kama ni mhitaji tuwasiliane tujaribu kucheki nyingine.
Mkuu nakuja PM, kuna IST ipo DSMBado ipo hii gari?