Umejibu vema kwa unachojua.Dah! Hiyo biashara sikushauri ndugu yangu. Ukiwa na Kirikuu leo kinaleta hela, baada ya muda utasikia matairi yamekwisha, mara service, mara vibali. So in the end of the day its a profitable business but profit yake ni ndogo. Just imagine laki unaingojea kwa wiki nzima alafu iyo laki ikiingia Ijumaa unaila by J3 unakuwa huna kitu. Bora urisk. Ongeza ongeza ifke milioni kumi na moja hivi umvue mtu Costa zee zeee. Ukilipigisha ruti ndogo ndogo litakuletea angalau elfu sabini kwa siku na itakuwa rahisi kurudisha hela yako... Nimeshafanya sana biashara ya Kirikuu. Naielewa. Haiwezi kukuota kimaisha. La sivyo ni bora ufanye biashara ya kuuza bidhaa...
Ni kweli. Nimeanzia na biashara ya boda boda by 2009 huko. Nikaachana nayo. Baadaye nikaingia kwenye biashara ya Kirikuu. Nilikuwa navyo vingiii. Nikaachana navyo. Sasa nimeingia kwenye dala dala. Huku ndio ntakozeekea...Umejibu vema kwa unachojua.
Biashara zako zote pasua kichwa tuNi kweli. Nimeanzia na biashara ya boda boda by 2009 huko. Nikaachana nayo. Baadaye nikaingia kwenye biashara ya Kirikuu. Nilikuwa navyo vingiii. Nikaachana navyo. Sasa nimeingia kwenye dala dala. Huku ndio ntakozeekea...
Ha haa! At least hazihitaji Msukule...Biashara zako zote pasua kichwa tu
Ha haa! At least hazihitaji Msukule...
Ni kweli. Nimeanzia na biashara ya boda boda by 2009 huko. Nikaachana nayo. Baadaye nikaingia kwenye biashara ya Kirikuu. Nilikuwa navyo vingiii. Nikaachana navyo. Sasa nimeingia kwenye dala dala. Huku ndio ntakozeekea...
duuhhhhhDah! Hiyo biashara sikushauri ndugu yangu. Ukiwa na Kirikuu leo kinaleta hela, baada ya muda utasikia matairi yamekwisha, mara service, mara vibali. So in the end of the day its a profitable business but profit yake ni ndogo. Just imagine laki unaingojea kwa wiki nzima alafu iyo laki ikiingia Ijumaa unaila by J3 costa unakuwa huna kitu. Bora urisk. Ongeza ongeza ifke milioni kumi na moja hivi umvue mtu Costa zee zeee. Ukilipigisha ruti ndogo ndogo litakuletea angalau elfu sabini kwa siku na itakuwa rahisi kurudisha hela yako... Nimeshafanya sana biashara ya Kirikuu. Naielewa. Haiwezi kukuota kimaisha. La sivyo ni bora ufanye biashara ya kuuza bidhaa...
duuuuuuuuuuuuh!!!!! umvue mtu costa zee zeee? hahaaa mkuu unamshauri atoke kwenye majivu akanyage moto, kununua gari zee ni pasua kichwa ni hasara tupu utakula aisee acha kabisaDah! Hiyo biashara sikushauri ndugu yangu. Ukiwa na Kirikuu leo kinaleta hela, baada ya muda utasikia matairi yamekwisha, mara service, mara vibali. So in the end of the day its a profitable business but profit yake ni ndogo. Just imagine laki unaingojea kwa wiki nzima alafu iyo laki ikiingia Ijumaa unaila by J3 unakuwa huna kitu. Bora urisk. Ongeza ongeza ifke milioni kumi na moja hivi umvue mtu Costa zee zeee. Ukilipigisha ruti ndogo ndogo litakuletea angalau elfu sabini kwa siku na itakuwa rahisi kurudisha hela yako... Nimeshafanya sana biashara ya Kirikuu. Naielewa. Haiwezi kukuota kimaisha. La sivyo ni bora ufanye biashara ya kuuza bidhaa...
hahaaaa ...umeonaeee?Biashara zako zote pasua kichwa tu
Sio kweli. Hata matajiri wote waliotajirika walinunua viwanda vizee vizee vya serikali. Anza na Bhakhresa, njoo na Mo Dewij... n.k. Unapokuwa na costa linalopiga kazi ila zee zee, likawa na uwezo wa kutembea kwe miezi sita tu, tayari umesharudisha faida yako. Sio kila kizee ni kibovu japo marekebisho yatahitajika...duuhhhhh
duuuuuuuuuuuuh!!!!! umvue mtu costa zee zeee? hahaaa mkuu unamshauri atoke kwenye majivu akanyage moto, kununua gari zee ni pasua kichwa ni hasara tupu utakula aisee acha kabisa
Hahaha safi kabisaHa haa! At least hazihitaji Msukule...
Goodchochote utachokifanya kinalipa, ila inategemea uelewa wako ktk kusimamia biashara. Ushauri wangu nunua Bajaji endesha mwenyewe ndani ya miezi 6 pesa yako imerudi, unawekeza ktk biashara nyingine
kwa hiyo ndani ya hiyo miezi 6 litakua limemuingizia mapato kiasi gani na litakua limetumia gharama kiasi ghani (service, mafuta, pamoja na kulinunua)Sio kweli. Hata matajiri wote waliotajirika walinunua viwanda vizee vizee vya serikali. Anza na Bhakhresa, njoo na Mo Dewij... n.k. Unapokuwa na costa linalopiga kazi ila zee zee, likawa na uwezo wa kutembea kwe miezi sita tu, tayari umesharudisha faida yako. Sio kila kizee ni kibovu japo marekebisho yatahitajika...
ukiwa umezaliwa katika familia unayotakiwa upambane ndio utusue lazima utajua ni nini.What the hell is kirikuu?????