ukiwa umezaliwa katika familia unayotakiwa upambane ndio utusue lazima utajua ni nini.
kirikuuu ni kirikuuu.
afu bora ungeandika what is kirikuu. hiyo hell ni useee
Ni Suzuki Carry na mfano wake. Ni hivi vigari vidogo vidogo vya kubeba mizigo myepesi.mtoa mada ebu fafanua maana ya kirikuu wengine hatufahamu.
Ni Suzuki Carry na mfano wake. Ni hivi vigari vidogo vidogo vya kubeba mizigo myepesi.
mkuu iyo costa zee zee mh hapo bado ujamsaidia bali unampotezaSio kweli. Hata matajiri wote waliotajirika walinunua viwanda vizee vizee vya serikali. Anza na Bhakhresa, njoo na Mo Dewij... n.k. Unapokuwa na costa linalopiga kazi ila zee zee, likawa na uwezo wa kutembea kwe miezi sita tu, tayari umesharudisha faida yako. Sio kila kizee ni kibovu japo marekebisho yatahitajika...
Ongeza ongeza ifke milioni kumi na moja hivi umvue mtu Costa zee zeee. [/QUOTE said:Kumbe unaweza kupata coastal kwa milion kumi na moja?
Nami nasubiri huo ushauri.ahsantewakuu heri ya mwaka, nimepata huo mtaji na ninawaza kwa mkoa wa Dar es Salaam ninunue bajaji ama kirikuu. Naomba wazoefu na pia wenye uelewa juu ya hili;
1. Je, ni ipi itanilipa vizuri?
2.Je, ipi inachangamoto chache kwa Dar?
3. Profitability yake ikoje?
4.nina mpango wa kumtafta driver je mikataba hua inakuaje?
NATANGULIZA SHUKRANI
Safi sana mié nina M8 Vp kaka siwezi pata town Haice nkaipigishe kazi mikoaniNi kweli. Nimeanzia na biashara ya boda boda by 2009 huko. Nikaachana nayo. Baadaye nikaingia kwenye biashara ya Kirikuu. Nilikuwa navyo vingiii. Nikaachana navyo. Sasa nimeingia kwenye dala dala. Huku ndio ntakozeekea...
ni vile vigari vidogo vyeupe vyakubebea mizigo,suzuki carry kama sikoseiWhat the hell is kirikuu?????
unawafugia wap hao swain nije kufanya studyfuga nguruwe. Hakika hutajuta. Nilinza na nguruwe 10 mwaka 2014 na kwa sasa ninao 200. Hapo nimeshauza kama 80 hivi.
Shukran kwa ufafanuzi, sikuwa nimewahi kusikia hilo jina.ni vile vigari vidogo vyeupe vyakubebea mizigo,suzuki carry kama sikosei
Mkuu njoo chunya tufanye biashara ya kusagisha mawe ya dhahabu, kwa miezi sita kama upo bize na kazi hukosi mpaka 20m.Nipm tuongee kwa kirefu kuhusu hii biashara kabla hujaamua kuingia rasmi, ujue nje ndani. Mimi ni engineer wa uchenjuaji wa madini. Karibu sanawakuu heri ya mwaka, nimepata huo mtaji na ninawaza kwa mkoa wa Dar es Salaam ninunue bajaji ama kirikuu. Naomba wazoefu na pia wenye uelewa juu ya hili;
1. Je, ni ipi itanilipa vizuri?
2.Je, ipi inachangamoto chache kwa Dar?
3. Profitability yake ikoje?
4.nina mpango wa kumtafta driver je mikataba hua inakuaje?
NATANGULIZA SHUKRANI