Nina milion 4 je nikienda kukopa bank m 2 napewa?

Nina milion 4 je nikienda kukopa bank m 2 napewa?

Asante kwa Bandiko la Mikopo Mkuu.

WAKUU WANAKUJA KUKUPA MIONGOZO, TULIA HAPOHAPO USIONDOKE.

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Lengo nitumie pesa ya mkopo kufanyia biashara huku nikiwa nalipa kidogo kidogo kila mwezi dhamana yangu ni account ya bank salio nililonalo. Je napewa?
Fafanua vizuri mkuu

Yaani una 4m Bank afu
Unataka uiweke bond then wao wakupe 2m?

Kama ni hvo si ugawe hiyo 4m uanze kufanya biashara
 
Kwenye hiyo 4m jikopeshe mkuu na uwe mkali kweli kweli kwenye marejesho.

Kuhusu benk ngoja wajuvi waje kukupa miongozo.
 
Back
Top Bottom