Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mchanganyiko weka jezi weka na nguo za kike na kiume t-shirt na majinsi yawepo mkuuDuka la nguo za aina gani
Nashukur sana kiongozPeleke UTT utakuwa unapata kama 80K faida. Ikikaa kianzia miezi 3 unaweza kuichukua. Huo muda utumie kufanya utafiti wa kutosha maana umesema wewe ni mgeni huko.
Kahama ni Business hiyo fedha ukipata idea nzuri rahisi kutajirika.
AjichanganyeTafuta odds 2 weka hela
KawaidaAjichanganye
Kuwa wakala wa bank na Mitando kutoa na kuweka pesa[emoji817][emoji817][emoji817][emoji817][emoji817].Wana jamii kwanza habari zenu..
Mimi ni kijana naombeni ushauri wenu ni fursa zipi za biashara mnanishauri nifanye kwa hapa Kahama..
Maana mimi ni mgeni.
Naombeni muongozo yenu naamini hamtaniangusha..
Ntazungukia nichek broMzee stendi pale Una paona??, crdb new branch umesha pacheki??.
kule choma zone napo??, katege huduma za fedha Kuke, competition ni ndogo, na wateja wapo mzee.
Kuna hii ya chipsi kule kwenye club, wanao fanya vizuri wachache, wengine ni twende twende tu.
[emoji817][emoji817][emoji817][emoji817] weka tudemu unato tuamini tuzuri wateja70%Inalipa sana kwa kahama
Jaribu mgodini mkuu pana fursa nzuriWana jamii kwanza habari zenu,
Mimi ni kijana naombeni ushauri wenu ni fursa zipi za biashara mnanishauri nifanye kwa hapa Kahama, maana mimi ni mgeni.
Naombeni miongozo yenu, naamini hamtaniangusha.