Jerrymsigwa
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 14,085
- 8,409
nilishawahi kutafuta noah kwa 5m humu jf wengi walikebehi,kejeli,kashfu n.k........lakini mwishowe nimelipata kwa 4.8 kwa mama mmoja aliyekuwa na shida ya kwenda matibabu nje ya nchi....kwa hiyo mtu kutangaza prado kwa 12m ni haki yake na hayo ndio matumizi ya fursa hizi.....
what's your point? bure kwa kipi, kuuliza kuwa prado zimeshuka?Watu wengine sijui mnaongea vitu gani, BURE KABISA
ebu nitafutie mojaTunaongelea magari used hapa, Range Rover Sport ya kuanzia 2005 haifiki hata 60M kuileta na kuilipia kila kitu, lakini watu wanaumia mpaka 90M show room, ili tu aseme mtaani "NIMENUNUA MILLIONI TISINI!...mafala wako wengi, na watoto wa mjini wanatumia fursa hizo!
ameandika anapata reg; C kwa bei hy mkuu, sasa( C ni imported)
ebu nitafutie moja
hyo hapo range rover ya mwaka elfu 2000 imetembea kilometre 53,000 inauzwa milioni 16
we pompo mleta mada fanya hivi! vaa vizuri pak wanja nenda traveltine usiku nna uhakika utanunuliwa gari bureeeeeee na hiyo hela yako ya madafu kanunue mapowder ujipendezeshe bwabwaa wee