Haya maswali wakati mwingine yanafikirisha.
Nyumba inaweza kua 9m kwa16m ikawa na hivyo vyuma unavyo tutajia . nyingine ikawa na 7 m kwa 9m nayo Ina idadi ya vyumba hivyo hivyo.
HAO WENYE UJUZI WANAIJI YAFUATAYO ILI WAWEZE KUSAIDIA.
1:Nivyema kuweka Square metre,
(Eneo la mraba) ya jengo husika au talajiwa. kumbuka hata ukitaja ulefu kama nilivyo taja hapo juu, 9m×16m, inaweza isilete jibu sahihi kwasababu nyuma za kisasa hizinyoki kama drasa.
2: wekeni "Bei" za biza husika kwa eneo unako fanyika ujenzi .
NB,: sijasema utaje ulipo , taja bei tu.hii itasaidia kukokotoa gharama kwa sababu Bei hutofautia eneo na eneo.
Bei Mbao Sawala Mufindi, nitofauti memba moto Kongwa.
Hali kadhalika, Bei ya bati kivule haulingangani na kandete Kule Busokero.
Jambo lingine ujenzi hotofautiana kwa mazingira , pia kipato.
Ukiwa Arusha kwa maeneo Njiro, kecki hutengenezwa kwa mbao za 4×2 na kama jengo ni kubwa kidogo za chini tire been Zina kaa2( double) king post na cros zinabanwa katikati.
3 ×2niyakupigia bati.
Ukienda , Singida utakuta inatumika 3×2 .
Dodoma mbande SagaraB&A hata Kongwa mjini, nimekuta wanatumwa 2×2. Na usishangae japo, 2×2 sishauli mtu kuitumia kwenye kuunda Keck.
nibora kama umekwama ukanunua Mirunda, endapo inapatikana kwa maeneo Yako, hii inaweza kuokoa gharama nakukupa uimara Zaid kuliko 2×2.